Nimefanya tafiti wamama ndio wengi zaidiWasiwe vijana sasa waww wamama wamama mkuu hapo ndo kidogo afadhali
Aloo kumbe mwanang ushapata ajira isiyo rasmi ππNime pata dem wa kiarabu, sasa namuachaje kwa deal isiyi elewekaππ
Pia hapo wanawake ambao wapo kwenye menopause wamekuwa included.Mbona idadi sio kubwa sana?
Niko natamba mwanangu,kifupi naichapa mwanangu ππAloo kumbe mwanang ushapata ajira isiyo rasmi ππ
Dah Kumbe wanawawake wapo wengi kuliko wanaumeHuku TZ kuna bonge la gap kati ya wanaume na wanawake lakini sijaona
Yes ,51% ya Population.Dah Kumbe wanawawake wapo wengi kuliko wanaume