Laudit Mavugo aanza "kurudisha" hela ya usajili Simba S.C.

Timu nzuri ni ile inayopata matokeo mazuri,sio kinyume na hapo. Man U na Tottenham kwa msimu uliopita Tottenham ndio ilikuwa timu nzuri si kinyume na hapo zaidi ya hapo hizo ni mbwembwe ambazo kwenye soka hazina nafasi.

Nimefurahi kuona kwamba unaelewa kwamba mbwembwe hazina nafasi kweny mpira, mmepayuka ohhh wakimataifa huo ukimataifa wenu upo wapi? Kweny kumaliza group ukiwa mkiani, hizo ndo mbwembwe ss ulizosema hazina nafasi kweny mpira, km mna uwezo chezeni mpira tuone, sio huu mpira wetu na figisu zenu za TFF, cha kuwapongeza ni kwamba mnapata pesa katika kushiriki ila kimpira na hizo kelele zenu ni aibu tupu, ni sawa na arsenal 2 kweny champion ligi, wanapata hela zao ila pia wanadhalilika 2
 
Sisi ni wakimataifa na ndio maana tunachuana kwenye mechi za kimataifa kwa vile tumefanya vizuri ligi ya nyumbani (kama hufahamu maana ya wa kimataifa ni kucheza michuano ya kimataifa) na ukumbuke kuwa kwa sasa Yanga si wakulinganisha na nyinyi ambao hata ligi ya ndani hamna mnachokifanya.
 
Hawa wa matopeni wana shida sana.

Shida mnazo nyinyi mnaoshindwa kujadil mamb yenu kwenye uzi wenu, kutwa kuja kajaza server kweny uzi wa wenzenu, kwahiyo nyie mmeona ata issue ya kukodisha team yenu km shamba haina maana kuijadil hadi mje kujadil simba day, alafu hv waga mnajiskiaje mtu akiwaita wakimataifa alafu na hiyo performance yenu ya huo utaifani ilivo
 
Yanga msimu uliopita haikua bora, ilikua ni best among the worst.. Hivyo ilienda kutokana na sheria za CAF.. Lakini kama CAF wangekua wanaangalia viwango vya timu kabla.. Yanga hamkutakiwa kusogelea hata uwanja.
 
Simba haiwezi kujilinganisha na yanga ktk VPL hii misimu mitatu hapa nyuma sikatai, ila usijifanye kuilinganisha simba na yanga huko mnakopaita utaifani, swimme nyie angalieni record za simba na Ndala FC alafu urudi hapa kutoa povu
 
Hapa Jf hakuna uzi wa akina fulani,ili mradi haumkwazi mtu na uchanganyi habari, na kama utakuwa umeanzia juu utakuwa umeona jinsi mtoa mada alivyoiingiza Yanga kwenye mada inayozungumzia vitu vya wamatopeni. Lakini pia sisi kuitwa wa KIMATAIFA NI SAHIHI KABISA NA NDIO HADHI YETU labda kama ujui maana ya wa kimataifa ni hii NI TIMU INAYOCHEZA MICHUANO YA KIMATAIFA.
 
Simba haiwezi kujilinganisha na yanga ktk VPL hii misimu mitatu hapa nyuma sikatai, ila usijifanye kuilinganisha simba na yanga huko mnakopaita utaifani, swimme nyie angalieni record za simba na Ndala FC alafu urudi hapa kutoa povu
Historia haina nafasi kwa soka la sasa, Leister msimu wa 2014/ 2015 ilikuwa inajiokoa kushuka daraja lakini msimu wa 2015/2016 wao ndio mabingwa. Na tukiizungumzia historia utaitaja Liverpool leo hii ina nafasi gani kwenye soka la Uingereza na Ulaya kwa ujumla. Na hata ukiilazimisha kwa hapa home bado Yanga ndio inayoongoza kuchukua ubingwa wa TZ na kuifunga mara nyingi Mikia fc, lakini hayo hayana nafasi kwa sasa kwa sababu wapinzani wetu kwa sasa ni Azzam na si Mikia fc tena.
 
Nyie watani ukimataifa wenu uko hpa hpa ktk ardhi ya mbambadu, mnakoenda huko ulizeni nani wakimataifa kati ya mnyama na ndala mtaambiwa, mnachofanya nyie ni sawa na kulinganisha Manchester utd na Liverpool katika uefa champions ligi
 
Yanga msimu uliopita haikua bora, ilikua ni best among the worst.. Hivyo ilienda kutokana na sheria za CAF.. Lakini kama CAF wangekua wanaangalia viwango vya timu kabla.. Yanga hamkutakiwa kusogelea hata uwanja.
Kuna uwezekano wewe unachojua ni habari za mikia tu, hivi unajua kuwa hadi hatua hii iliyofikiwa na Yanga kuna timu ambazo hazikufikia ??
 
Kuna uwezekano wewe unachojua ni habari za mikia tu, hivi unajua kuwa hadi hatua hii iliyofikiwa na Yanga kuna timu ambazo hazikufikia ??

Acha porojo ww c tunaongelea wewe unaejiita wakimataifa namm unaeniita wamatopeni sa hizo team zingine zinatuhusu nn hapa
 
Nyie watani ukimataifa wenu uko hpa hpa ktk ardhi ya mbambadu, mnakoenda huko ulizeni nani wakimataifa kati ya mnyama na ndala mtaambiwa, mnachofanya nyie ni sawa na kulinganisha Manchester utd na Liverpool katika uefa champions ligi
Ulichokisema nifanye nimekifanya na majibu ndio haya hapa. Yanga ipo kwenye 325 Azam 343 na Mikia fc ni ya 348 tafadhari sana naomba usome. Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
 
Acha porojo ww c tunaongelea wewe unaejiita wakimataifa namm unaeniita wamatopeni sa hizo team zingine zinatuhusu nn hapa
Sifanyi porojo, na hayo niliyoyaandika ni kutokana na maelezo ya jamaa hapo juu anaitwa sembo commenti yake 48# hebu rudi hapo juu utaona kwanini nimeandika hivo.
 
Ulichokisema nifanye nimekifanya na majibu ndio haya hapa. Yanga ipo kwenye 325 Azam 343 na Mikia fc ni ya 348 tafadhari sana naomba usome. Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase

Mtani hizo sio record za caf, hizo standings ambazo zinqchange kulingana na performance ya team ktk ligi yake ndomana umeona azam yuko mbele yangu kwa sababu tu ye amenizid hii misimu mi3, na hiyo haina maana kwamba azam au yanga ni team bora africa, km utaweza pia angalia standings za vilabu vyote duniani km hukuti arsenal na Tottenham ziko mbele ya team km liverpool, na utakuta juventus ipo nafasi ya juu kuliko Manchester utd, msimu ujao naanza kwanza kumkata azam then mtani

Duhhh hili balaa yani mkuu povu lote hilo linalowatoka eti wakimataifa mnashika nafasi ya 325 na mkia fc mliemtangulia misimu mi4 yote ndo mnaiacha nafasi 23 tu??? We huoni km hapo kuna ttzo, kwnn msiwe mmenizid nafasi ata 100 huko kwakuwa mm ni wamatopeni, ila bahati mbaya tupo kweny same margin, eti mnajiita wakimataifa sa Tp mazembe wajiiteje ss au wakatae kushiriki ligi za Africa
 
Tuwekee hizo rekodi za CAF ?
Hizo rekodi za CAF zinaangalia perfomance ya nini ?
 
Kubishana kuhusu mkia fc ni kujipotezea muda bure, kwa sasa wao wako level moja na Mtibwa, Ndanda Prisons na wengineo, anayejaribu kutoa changamoto kwa Yanga ni Azam.Sioni kama timu waliyonayo inaweza kusogea zaidi ya nafasi ya tatu.
 
Tuwekee hizo rekodi za CAF ?
Hizo rekodi za CAF zinaangalia perfomance ya nini ?

Duhhh hili balaa yani mkuu povu lote hilo linalowatoka eti wakimataifa mnashika nafasi ya 325 na mkia fc mliemtangulia misimu mi4 yote ndo mnaiacha nafasi 23 tu??? We huoni km hapo kuna ttzo, kwnn msiwe mmenizid nafasi ata 100 huko kwakuwa mm ni wamatopeni, ila bahati mbaya tupo kweny same margin, eti mnajiita wakimataifa sa Tp mazembe wajiiteje ss au wakatae kushiriki ligi za Africa

Kumbe namimi wakimataifa aisee kwa mujibu wa hizo standing, sa mbona waga na azam hamuwaiti wakimataifa kwa hilo hiyo, ambao sio wakimataifa ni kina mtibwa kushuka chin, shukrani kwa kuleta hizo standings hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…