Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Nimesema 'mashindano ni ya timu bora'. Pamoja na sisi kuwa katika hali ngumu kuna wengine wana hali ngumu zaidi.Kwahiyo kutopata point kwa Al Ahly ndo mmeona pa kujipea matumaini kwamba nanyie kupata pont 1 ndio mnazostahili ehhh