Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.

Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:

Screenshot_20230305-052350~2.jpg

Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣

Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina Yericko Nyerere na wale warusi wa pale Buza.

Ama kweli duniani hakutaisha vituko.
 
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.

Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:

View attachment 2537591

Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!
 
Mtoa mada ebu soma hiyo habari labda itakusaidia kujua context ya kauli ya Lavrov. Nina assume unajua hiyo lugha.
 
Hawa wanaoshawishiwa na wamarekani na wachumba zake kuichukia urusi ikosiku watashawishiwa kuwa mashoooo...
Marekani ni wapuuzi na wanapaswa kukutana na visiki kama Putin ndowajue si kila upuuzi wao utapokelewa na dunia.
Hiroshima inafaa irudishwe Nyuyoku nadhani seputemba ileveni haikufundisha vyema. Tuikaripie minchi chokozi inayotaka kutawaka dunia
vita nimbaya lakini kutawaliwa nikubaya zaidi
 
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.

Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:

View attachment 2537591

Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣

Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina Yericko Nyerere na wale warusi wa pale Buza.

Ama kweli duniani hakutaisha vituko.

Warusi weusi wanakuambia Urusi imefanya 'pre-emptive strike'..... hatari sana hawa jamaa

Bukyanagandi Yoda dudus 1954 Nyamizi TUJITEGEMEE
Kichuguu
 
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.

Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:

View attachment 2537591

Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. [emoji1787][emoji1787]

Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina Yericko Nyerere na wale warusi wa pale Buza.

Ama kweli duniani hakutaisha vituko.
Hujui hata kusoma ns hujaelewa kitu
 
Hata wewe unaamini Urusi ndio iliyovamiwa ?
Ebu soma hiyo habari nimeweka hapo juu ili uelewe context ya vita ya Ukraine. Kwa ufupi, vita imepikwa na marekani kwa lengo la kutaka kuidhoofisha urusi ili waweze kuitawala dunia kwa urahisi kupitia kitu kinaitwa New World Order! Urusi wameingia vitani ili kujihami!
 
Chanzo cha hiyo habari kinajulikana mrengo wake, ni vigumu kuaminika.

Kwanini huyo Marekani asiidhoofishe kwanza China ambaye ni mpinzani wake mkubwa kwa sasa na tajiri kuliko Urusi ?
 
Back
Top Bottom