Law School matokeo yametoka, je wamefeli kama miaka yote? Mwenye nayo atuwekee hapa

Law School matokeo yametoka, je wamefeli kama miaka yote? Mwenye nayo atuwekee hapa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Yametoka usiku huu. Mwenye nayo atuwekee hapa tafadhali

Mitihani ya Law Shool imekuwa changamoto kubwa sana kwa vijana wetu. Wanafeli kama vile hawajawahi soma sheria.
 
Back
Top Bottom