Law school of Tanzania yapandisha ada na gharama nyingine, kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=

Sasa kwani lazima usome sheria someni hata Mechanics au logistics mbn zinapesa nyingi kuliko hata iyo sheria...
 
Hapa itabidi tuanze kuwakopesha wanaoenda kusoma akitoka unamfungulia kijiwe mnagawana kinachopatikana akimaliza kulipa deni mnamalizana basi , maana hakuna namna
 
[emoji23] tunapoelekea ikifika 2025 vyuo vya tz vitakuwa vinabembeleza watu wasome.maana wimbi la wasomi limekuwa kubwa na ajira hakuna.bora hiyo pesa kufanyia miradi maisha yakwende
 
[emoji28][emoji28] ichi chuo kina ongozwa na ma profesa ambao ata uwezo wa kutumia elimu zao wame shindwa ..una ongezaje zaidi ya 1+ million gafra ivyo,hili walio jipanga kwenda intake ya January wasiende au hata ilo la kulipa ada yote kwa wakat mmoja ni ujinga tu
 
Sasa kwani lazima usome sheria someni hata Mechanics au logistics mbn zinapesa nyingi kuliko hata iyo sheria...

Consumers protection Ina maana yoyote kwako?

Uliyaona haya kabla ya kukurupuka?

"Kwa gharama zipi za uendeshaji ada Law school ya Tanzania kuwa juu kuliko za kusomea hata kada nyingine muhimu zaidi kwa maisha ya binadamu?"
 
Mbon ndogo hio, mnalia million 2 na laki 9?, huna nenda kasomee mechanics achana na sheria
 
Tanzania ndio Nchi inayoongoza kwa kukwamisha Raia wake upande wa Elimu mpaka wasomi nao ndio wanaongoza daah inasikitisha sana...
 
Nadhani ndio Mapendekezo ya Kamati ya Mwakyembe
 
Kabla ya kupata ufumbuzi kuhusu wanafunzi wengi wa Law School kufeli wamepandisha ada!! Nchi ya ajabu Sana hii!

Ufumbuzi ulipatikana, moja ni kuchuja wanafunzi wanaoingia Law School.
 
Consumers protection Ina maana yoyote kwako?

Uliyaona haya kabla ya kukurupuka?

"Kwa gharama zipi za uendeshaji ada Law school ya Tanzania kuwa juu kuliko za kusomea hata kada nyingine muhimu zaidi kwa maisha ya binadamu?"
Udaktari ada milioni tano kwa mwaka
 
BORA IPANDE VIHIYO NI WENGI
 
Mkopo 100% , Law School hakuna mkopo
Hakuna kitu kama hicho wachache hupewa mkopo ambao ada mtu hupewa mkopo milioni moja laki tatu milioni 3 laki saba unalipa mwenyewe hapo bado viti kibao

Urubani ada zaidi ya milioni 12 kwa mwaka chuo cha Usafirishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…