Kama mke au mume wa mtu ametembea na shemeji yake (binamu/mdogo/rafiki) wa mumewe au mkewe, kosa ni la MKE/MUME - hakuna cha shetani wala ati ''inategemea na situation yenyewe''. Full stop
Bishanga .............dah huyu mama anastahili pongezi sijui ni upendo au maana ni ngumu ati. Naelewa yapo makabila yanayofanya hivyo hata kama mke anaouzao haijalishi wao sana sana wanaangalia maswala ya mali kuwa mume anapotaka kuoa mke wa pili au tatu basi bi mkubwa anatengeneza njia kwa wadogo zake na mzee wake anapokea mahari.MJ1 yote haya yanategemea na mazingira.Kuna couple moja naifahamu (tena ni wanene serikalini) mama aliolewa mimba ikawa haishiki,kupima akaambiwa hali si hali,all she did alikwenda kijijini akamleta mdogo wake wa kuzaliwa,tunavyoongea mme keshamzalisha watoto wawili na mahari ishatolewa.Mke mkubwa ana nyumba yake na mdogo ana nyumba yake.MJ1 hapa siongelei 1947 naongelea 2011.
ulimi laini ulimtoa nyoka pangoni!
Aksante Consultant......hapa nimekuelewa ila naomba nikupate vizuri ina maana kosa litakuwa la mtu mmoja tu? Kama mke amekutwa anatembea na shemeji yake, kosa litakuwa la mke na kama mume amekutwa na shemeji yake basi kosa ni la mume?? What about huyo shemeji mtu?
Makosa yatakuwa ya mwenza wa aliyemega au kumegwa.............kama humpi kitu ambayo akikaa ofisini anacheka mwenyewe unategemea nini???!!!
haijalishi kala/kaliwa na nani..........issue inabaki pale pale.......kaliwa/kala!!
Eh consultant aksante sana. Hii pia ilikuwa ni dhana yangu na nadhani ndio maana wengi huwa kunaamua kuwa mke aachwe kwa kuwa alikuwa na uwezo wa kumkatalia.MJI, mi silioni kosa la shemeji. Imagine wewe shemeji yako (mdogo wa mumeo) akutokee - kwa nini umpe na usiamue kumkaripia au kumsema kwa mumeo? Kosa ni lako kwa kuwa ulikuwa na uwezo wa kulizuia hilo.
Wengine wanasema ati mashemeji wanaweza kuwa forced (mke kumlazimisha shemejiye au mume the same way). Still kosa la shemeji bado silioni. Kwanini mume akamlazimishe shemeji yake?
In any case mume/mke ana nafasi kubwa mno ya kuzuia tendo kutokea na ndio maana nasema yeye ndo wa kulaumiwa kwa asilimia zote
Hii nimeifikiria/contextualize kwenye hii mada najiuliza tu...hapa unamlaumu nyoka au ulimi?ulimi laini ulimtoa nyoka pangoni!
Eh consultant aksante sana. Labda tu nikuulize lengo, nia au sababu hasa ya kumkatalia ni nini?
Mwe...........umefanikiwa kunichekesha leo ah............... kuwa hadi awe anacheka akiwa ofcn. kweli mapenzi kujituma!!
MJ1.....ikitoke hii ctaoa msanaha kwa wote wawili, hii tabia ni chafu sana sana, kwanza ka huyo ndugu yangu atakuwa ameidhalilisha familia nzima, kwa mwanaume itakuwa ndio mwisho wetu coz kama hii ni dharau ya kutosha kwangu...ickie kwa m2 wa mbali....
Lol hapana mjasiria hapana kusema ukweli simfikirii hata siku moja kuyafanya haya, mola apitishe mbali.MJ1 shemeji kafanya kweli nini?? Maana unavyolalamika unanipa wasiwasi kumtima my dear.
- Shemeji hatakiwi kuilinda heshima yake na ya kaka/dada yake? Yeye akikubali kutembea na shemejiye (mke/mume wa ndugu yake) hajioni kama anajiharibia heshima?Sababu za kumkatalia zipo nyingi sana MJi ndugu yangu. Ngoja nikupe mbili tu
1) Kulinda heshima yako na ya mumeo pia. Imagine umeliwa na shemeji, huoni hata heshima yako imeshuka? kutoka nje ya ndoa ni dharau kubwa kabisa ambayo mwanaume/mwanamke anaweza kufanyiwa na mwenzi wake. Nimeshakaa vijiweni na inaumiza sana mwanaume anapopita na unasikia vijana wanavyoponda jamaa alivyo ''*****'' kwa kuwa tu wanammga mkewe
Hizo potential consequences zinawakumba wote isipokuwa mimba.2) Kuepuka potential consequences - kufumaniwa na kuvunja ndoa, ujauzito usioelezeka, gonjwa la zinaa to mention just a few. Unaweza kumpa harafu ukanogewa kwake. Inakuwaje hapo?
[/COLOR]
hata ujitume vipi kama haridhiki/wa tamaa atakuwa hivyo 2, majuma yaliyopita nilikuwa njoro, best frnd wangu akanitoa kidogo, ktk stori akamuingiza mdogo wake, alikuwa na bfnd, bfnd cjui niseme alimrubuni au vipi, mpaka wakafanya yale mengine kwa ajili tu ya kumridhisha bfnd wake, mwisho wake mdogo we2 ametoswa na mkaka anaoa tar 8 next month...imagine?.....hata umpe ki2 gani kama sio wa kuridhika hata umpe dunia hataridhika.
Nakuelewa dada mkubwa imagine tu inavyouma ukimkuta na jirani au rafiki au hata mwanamke mwenzio usiye mfahamu; sasa mdogo/dada yako kabisa?? hii ni dharau ya hali ya juu. Siku nyingine najiuliza hivi kwa nini inauma (ni kule kufikiria anavyofanya? raha unayopewa kama na kule anaitoa au?) hata sijui kama nimeuliza swali linalieleweka
Hata mimi aisee! khaa!Aisee, sometimes sijui MJ1 anafikiria nini kabisaaaaaaaaaa
Ni heri kuyasikia kuliko kuyashuhudia.hivi kwanini!!!!!!!!!!................................kuna mambo ukisikia hata kuongea huwa unashindwa.
Ningeshanga sana kama dadangu mbea kama wewe ungekosekana kwenye hii sredi.[/COLOR]
hata ujitume vipi kama haridhiki/wa tamaa atakuwa hivyo 2, majuma yaliyopita nilikuwa njoro, best frnd wangu akanitoa kidogo, ktk stori akamuingiza mdogo wake, alikuwa na bfnd, bfnd cjui niseme alimrubuni au vipi, mpaka wakafanya yale mengine kwa ajili tu ya kumridhisha bfnd wake, mwisho wake mdogo we2 ametoswa na mkaka anaoa tar 8 next month...imagine?.....hata umpe ki2 gani kama sio wa kuridhika hata umpe dunia hataridhika.
Babu bwana sasa kama ni vya kawaida mbona tunaumia na watu wanauwana kwa ajili ya hilo la kawaida?Hata mimi aisee! khaa!
Mie anavyovishangaa MJ1 kwangu navionaga vya kawaida tu. Nadhani MJ1 bado hajakua akaona kuwa hivi sasa dunia imefikia steji hii:
Baba kumlala binti yake kama amlalavyo mkewe
Mama kulalwa mwanae kama ambayo analalwa na mmewe
Kijana kulalana na mama mkwe wake.
Baba kumlala mke wa kijana wake..........
Kama hiyo haitoshi, kuna vijana wanawalala kuku na mbuzi kama wanavyowalala magelofrendi zao....
Na mabinti nao kulalwa na madogi kama hawana akili nzuri.....
Hivi leo jumangapi?..............Oooshhh! Ngoja nikailale Tusker Malti bana! Maisha mafupi haya!