Lawama nimpe Nani?

Lawama nimpe Nani?

Kama mke au mume wa mtu ametembea na shemeji yake (binamu/mdogo/rafiki) wa mumewe au mkewe, kosa ni la MKE/MUME - hakuna cha shetani wala ati ''inategemea na situation yenyewe''. Full stop

Nadhani kuna wakati hata huyo SHETANI huwa anashangaa jinsi watu wanavyomsingizia kwa maamuzi yao binafsi.
 
hivi kwanini!!!!!!!!!!................................kuna mambo ukisikia hata kuongea huwa unashindwa.
 
MJ1 yote haya yanategemea na mazingira.Kuna couple moja naifahamu (tena ni wanene serikalini) mama aliolewa mimba ikawa haishiki,kupima akaambiwa hali si hali,all she did alikwenda kijijini akamleta mdogo wake wa kuzaliwa,tunavyoongea mme keshamzalisha watoto wawili na mahari ishatolewa.Mke mkubwa ana nyumba yake na mdogo ana nyumba yake.MJ1 hapa siongelei 1947 naongelea 2011.
Bishanga .............dah huyu mama anastahili pongezi sijui ni upendo au maana ni ngumu ati. Naelewa yapo makabila yanayofanya hivyo hata kama mke anaouzao haijalishi wao sana sana wanaangalia maswala ya mali kuwa mume anapotaka kuoa mke wa pili au tatu basi bi mkubwa anatengeneza njia kwa wadogo zake na mzee wake anapokea mahari.

But kama alivyosema nyamayao ni makubaliano. Nahisi mke na mume walikaa na mke akamshauri mumewe afanye hilo ingawa angekuwa mwanaume mwingine angeshauriwa amwache bi mkubwa akaoe mwingine.
 
Aksante Consultant......hapa nimekuelewa ila naomba nikupate vizuri ina maana kosa litakuwa la mtu mmoja tu? Kama mke amekutwa anatembea na shemeji yake, kosa litakuwa la mke na kama mume amekutwa na shemeji yake basi kosa ni la mume?? What about huyo shemeji mtu?

MJI, mi silioni kosa la shemeji. Imagine wewe shemeji yako (mdogo wa mumeo) akutokee - kwa nini umpe na usiamue kumkaripia au kumsema kwa mumeo? Kosa ni lako kwa kuwa ulikuwa na uwezo wa kulizuia hilo.

Wengine wanasema ati mashemeji wanaweza kuwa forced (mke kumlazimisha shemejiye au mume the same way). Still kosa la shemeji bado silioni. Kwanini mume akamlazimishe shemeji yake?

In any case mume/mke ana nafasi kubwa mno ya kuzuia tendo kutokea na ndio maana nasema yeye ndo wa kulaumiwa kwa asilimia zote
 
Makosa yatakuwa ya mwenza wa aliyemega au kumegwa.............kama humpi kitu ambayo akikaa ofisini anacheka mwenyewe unategemea nini???!!!
haijalishi kala/kaliwa na nani..........issue inabaki pale pale.......kaliwa/kala!!

Mwe...........umefanikiwa kunichekesha leo ah............... kuwa hadi awe anacheka akiwa ofcn. kweli mapenzi kujituma!!
 
MJI, mi silioni kosa la shemeji. Imagine wewe shemeji yako (mdogo wa mumeo) akutokee - kwa nini umpe na usiamue kumkaripia au kumsema kwa mumeo? Kosa ni lako kwa kuwa ulikuwa na uwezo wa kulizuia hilo.

Wengine wanasema ati mashemeji wanaweza kuwa forced (mke kumlazimisha shemejiye au mume the same way). Still kosa la shemeji bado silioni. Kwanini mume akamlazimishe shemeji yake?

In any case mume/mke ana nafasi kubwa mno ya kuzuia tendo kutokea na ndio maana nasema yeye ndo wa kulaumiwa kwa asilimia zote
Eh consultant aksante sana. Hii pia ilikuwa ni dhana yangu na nadhani ndio maana wengi huwa kunaamua kuwa mke aachwe kwa kuwa alikuwa na uwezo wa kumkatalia.

Labda tu nikuulize lengo, nia au sababu hasa ya kumkatalia ni nini?
 
Eh consultant aksante sana. Labda tu nikuulize lengo, nia au sababu hasa ya kumkatalia ni nini?

Sababu za kumkatalia zipo nyingi sana MJi ndugu yangu. Ngoja nikupe mbili tu

1) Kulinda heshima yako na ya mumeo pia. Imagine umeliwa na shemeji, huoni hata heshima yako imeshuka? kutoka nje ya ndoa ni dharau kubwa kabisa ambayo mwanaume/mwanamke anaweza kufanyiwa na mwenzi wake. Nimeshakaa vijiweni na inaumiza sana mwanaume anapopita na unasikia vijana wanavyoponda jamaa alivyo ''*****'' kwa kuwa tu wanammga mkewe

2) Kuepuka potential consequences - kufumaniwa na kuvunja ndoa, ujauzito usioelezeka, gonjwa la zinaa to mention just a few. Unaweza kumpa harafu ukanogewa kwake. Inakuwaje hapo?

3) Ukishafunga pingu za maisha maana yake no kurukaruka tena no matter what!

4)...

Sababu za ''kumnyima'' zipo nyingi sana
 
Mwe...........umefanikiwa kunichekesha leo ah............... kuwa hadi awe anacheka akiwa ofcn. kweli mapenzi kujituma!!

hata ujitume vipi kama haridhiki/wa tamaa atakuwa hivyo 2, majuma yaliyopita nilikuwa njoro, best frnd wangu akanitoa kidogo, ktk stori akamuingiza mdogo wake, alikuwa na bfnd, bfnd cjui niseme alimrubuni au vipi, mpaka wakafanya yale mengine kwa ajili tu ya kumridhisha bfnd wake, mwisho wake mdogo we2 ametoswa na mkaka anaoa tar 8 next month...imagine?.....hata umpe ki2 gani kama sio wa kuridhika hata umpe dunia hataridhika.
 
MJ1.....ikitoke hii ctaoa msanaha kwa wote wawili, hii tabia ni chafu sana sana, kwanza ka huyo ndugu yangu atakuwa ameidhalilisha familia nzima, kwa mwanaume itakuwa ndio mwisho wetu coz kama hii ni dharau ya kutosha kwangu...ickie kwa m2 wa mbali....

Nakuelewa dada mkubwa imagine tu inavyouma ukimkuta na jirani au rafiki au hata mwanamke mwenzio usiye mfahamu; sasa mdogo/dada yako kabisa?? hii ni dharau ya hali ya juu. Siku nyingine najiuliza hivi kwa nini inauma (ni kule kufikiria anavyofanya? raha unayopewa kama na kule anaitoa au?) hata sijui kama nimeuliza swali linalieleweka
 
MJ1 shemeji kafanya kweli nini?? Maana unavyolalamika unanipa wasiwasi kumtima my dear.
Lol hapana mjasiria hapana kusema ukweli simfikirii hata siku moja kuyafanya haya, mola apitishe mbali.

Nimeiandika baada ya kuona hata hapa JF mada nyingi ni za aina hii. Nakumbuka kuna mmoja alileta mada hapa kuwa amemfuma mkewe na mdogo/kaka/mjoba wake akajikuta anaondoka nyumbani hajielewi watu wakaanza kumshambulia eti amefumania ila kapataje nguvu ya kutuma ujumbe JF.!! Yanatokea tena siku hizi kwa kasi ya ajabu. Wadogo zetu hawana hata aibu wala uwoga tena kama ule wa zamani. Waume ndo usiseme.

...Nakumbuka sie tulikuwa tunapigwa marufuku kuvaa vijiguo vya uvhokozi ukienda nyumbani kwa dadako ambako anaishi na mumewe! Siku hizi hizi skin jeans sijui, vimini, vikaptura ...........unamwona tu mbaba wa watu mijimacho imemtoka anameza mate kwa uguuumu.............kama si kuwaprovoke ni nini?!
 
Nimekuelewa consultant but kuna maswali mengine yananijia kichwani na kuondoka. yaani siwezi kuyaphrase vizuri ngoja nijaribu.

Sababu za kumkatalia zipo nyingi sana MJi ndugu yangu. Ngoja nikupe mbili tu

1) Kulinda heshima yako na ya mumeo pia. Imagine umeliwa na shemeji, huoni hata heshima yako imeshuka? kutoka nje ya ndoa ni dharau kubwa kabisa ambayo mwanaume/mwanamke anaweza kufanyiwa na mwenzi wake. Nimeshakaa vijiweni na inaumiza sana mwanaume anapopita na unasikia vijana wanavyoponda jamaa alivyo ''*****'' kwa kuwa tu wanammga mkewe
- Shemeji hatakiwi kuilinda heshima yake na ya kaka/dada yake? Yeye akikubali kutembea na shemejiye (mke/mume wa ndugu yake) hajioni kama anajiharibia heshima?

Nakubaliana na wewe kuwa kutoka nje ya ndoa ni aibu hilo sina mjadala nalo. Ila nadhan jamii pia inahusika maana imefikia hatua mtu anayetembea na mke wa mtu anasifiwa!! Ila mwanamke anadharaulika!!

2) Kuepuka potential consequences - kufumaniwa na kuvunja ndoa, ujauzito usioelezeka, gonjwa la zinaa to mention just a few. Unaweza kumpa harafu ukanogewa kwake. Inakuwaje hapo?
Hizo potential consequences zinawakumba wote isipokuwa mimba.
 
[/COLOR]
hata ujitume vipi kama haridhiki/wa tamaa atakuwa hivyo 2, majuma yaliyopita nilikuwa njoro, best frnd wangu akanitoa kidogo, ktk stori akamuingiza mdogo wake, alikuwa na bfnd, bfnd cjui niseme alimrubuni au vipi, mpaka wakafanya yale mengine kwa ajili tu ya kumridhisha bfnd wake, mwisho wake mdogo we2 ametoswa na mkaka anaoa tar 8 next month...imagine?.....hata umpe ki2 gani kama sio wa kuridhika hata umpe dunia hataridhika.

Si ndio hapo sasa? tunarudi kule kule fanya haramu mumeo au mkeo asitoke nje!! mwisho tutafanya yasiyofanywa ah!!
 
Nakuelewa dada mkubwa imagine tu inavyouma ukimkuta na jirani au rafiki au hata mwanamke mwenzio usiye mfahamu; sasa mdogo/dada yako kabisa?? hii ni dharau ya hali ya juu. Siku nyingine najiuliza hivi kwa nini inauma (ni kule kufikiria anavyofanya? raha unayopewa kama na kule anaitoa au?) hata sijui kama nimeuliza swali linalieleweka

umeeleweka swirr....wivu/mapenzi/raha etc....ukifikiria hayo lazima uumie, hapo tunafikiriaga yale mazuri tu mabaya tunayaweka kando.
 
Aisee, sometimes sijui MJ1 anafikiria nini kabisaaaaaaaaaa
Hata mimi aisee! khaa!

Mie anavyovishangaa MJ1 kwangu navionaga vya kawaida tu. Nadhani MJ1 bado hajakua akaona kuwa hivi sasa dunia imefikia steji hii:

Baba kumlala binti yake kama amlalavyo mkewe
Mama kulalwa mwanae kama ambayo analalwa na mmewe
Kijana kulalana na mama mkwe wake.
Baba kumlala mke wa kijana wake..........

Kama hiyo haitoshi, kuna vijana wanawalala kuku na mbuzi kama wanavyowalala magelofrendi zao....
Na mabinti nao kulalwa na madogi kama hawana akili nzuri.....

Hivi leo jumangapi?..............Oooshhh! Ngoja nikailale Tusker Malti bana! Maisha mafupi haya!
 
hivi kwanini!!!!!!!!!!................................kuna mambo ukisikia hata kuongea huwa unashindwa.
Ni heri kuyasikia kuliko kuyashuhudia.
Na ni heri kuyashuhudia kuliko kuyafanya
Hujambo mpenzi?
 
[/COLOR]
hata ujitume vipi kama haridhiki/wa tamaa atakuwa hivyo 2, majuma yaliyopita nilikuwa njoro, best frnd wangu akanitoa kidogo, ktk stori akamuingiza mdogo wake, alikuwa na bfnd, bfnd cjui niseme alimrubuni au vipi, mpaka wakafanya yale mengine kwa ajili tu ya kumridhisha bfnd wake, mwisho wake mdogo we2 ametoswa na mkaka anaoa tar 8 next month...imagine?.....hata umpe ki2 gani kama sio wa kuridhika hata umpe dunia hataridhika.
Ningeshanga sana kama dadangu mbea kama wewe ungekosekana kwenye hii sredi.

Hujambo my luvly sis? Mie akumiss mpaka atoka jasho mdomoni.
 
Hata mimi aisee! khaa!

Mie anavyovishangaa MJ1 kwangu navionaga vya kawaida tu. Nadhani MJ1 bado hajakua akaona kuwa hivi sasa dunia imefikia steji hii:
Baba kumlala binti yake kama amlalavyo mkewe
Mama kulalwa mwanae kama ambayo analalwa na mmewe
Kijana kulalana na mama mkwe wake.
Baba kumlala mke wa kijana wake..........

Kama hiyo haitoshi, kuna vijana wanawalala kuku na mbuzi kama wanavyowalala magelofrendi zao....
Na mabinti nao kulalwa na madogi kama hawana akili nzuri.....

Hivi leo jumangapi?..............Oooshhh! Ngoja nikailale Tusker Malti bana! Maisha mafupi haya!
Babu bwana sasa kama ni vya kawaida mbona tunaumia na watu wanauwana kwa ajili ya hilo la kawaida?
Halafu hapo kwenye orodha ya mifano yako Babu hebu kubali kuwa kuna baadhi amabyo hatujafikia huko! Mama na kijana wake? wa kumzaaa au kufikia? na Baba naye?

Hawa lawama unazitupa kwa nani?
 
Back
Top Bottom