Lawama zetu ni kwa Idara ya Usalama wa Taifa kukosa uzalendo, weledi na kushindwa kumshauri Rais

Idara ya usalama si ya kindezi hivyo, mtoa mada hana tu uwezo wa kuelewa mipangilio yao. Ye ajikite kwenye vitu vyenye uwezo wake........habari za singeli na za kina hamisa mobeto.
Idara sasa ina umuhimu gani kama usalama wa nchi kiuchumi haulindwi?. Wewe ndio humuelewi, au umejitoa kuelewa. Hayuko kichama yeye amekuwa neutral na kutamani idara isaidie taifa kwa ujumla wake, isifanye kwa utashi wa chama fulani wala kiongozi aliye juu, ikibidi sheria ibadilishwe ili iwe huru.

Je hapo ubaya wake mtoa mada ni nini?
 
Tiss ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.

Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na serikali.

Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.

Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.

Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.

Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.

Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Sasa unaingilia kazi usizozielewa. Usiipime kabisa itelijensia ya Tanzania.
 
Unasema rais aivunje hiyo idara wakati wanawapitishia sheria ya kinga ya jinai. Huoni kuwa huyo rais na hao viongozi wa chama tayari wanajua kwa madudu yao watasakamwa na hivyo wanataka kuwatumia hao TISS kama killing machine k eliminate wote watakaowapinga.

Aibu sana hii nchi.
 
Intelijensia ya kujenga misikiti?
Ma shaa Alah, tatizo lako ni misikiti?

Nnavowafahamu Waarabu na jinsihawataki tabu ya kutafuta pa kusalia, utaniambia, wakifika cha kwanza wanajenga msikiti ndani ya badari.

Si hata ukisafiri ukiona vituo vya mafuta vina misikiti, 80% walijenga Waarabu vile, sala 5 kwa wakati.

Kwenu huko hujasikia adhana ya Alfajiri?
 
Shule ulisome ujinga au?
Sijakuelewa, sikioni cha "saga" wala sagwa hapa.

Ndiyo maana nikakuuliza "saga ndiyo nini?

Usifikiri kila unachokielewa wewe na mimi nakielewa. Au kila nnachokielewa mimi na wewe unakielewa. Lugha zinakitu kinaitwa "locution", unaweza kuwa na neno eneo moja au hata ndani ya familia moja likamaanisha kingine kwengine.

Hata hapa JF, kuna maneno utayakuta hapa ambayo kwengine huyakuti.

Usinipime. Mimi bado nasoma, sijaacha kusoma.
 
Kwa hiyo idara ya usalama inahusika kwenye hii saga inayoendelea?
As long as usalama wa nchi na mali zake na watu wake unahusika, yes wanajua issue iko salama tu kwa nchi ndo maana imebarikiwa hadi kukufikia wewe. Hawa wapingaji ni wale ambao hupinga hata pale wananchi wanapojitolea......kosa wakose ulaji tu.
 
Ni nini taifa linaenda kupata kwenye uwekezaji wa bandari? Ni kipi linaenda kupoteza kwenye uwekezaji huu?
 
Idara sasa ina umuhimu gani kama usalama wa nchi kiuchumi haulindwi?. Wewe ndio humuelewi, au umejitoa kuelewa. Hayuko kichama yeye amekuwa neutral na kutamani idara isaidie taifa kwa ujumla wake, isifanye kwa utashi wa chama fulani wala kiongozi aliye juu, ikibidi sheria ibadilishwe ili iwe huru.

Je hapo ubaya wake mtoa mada ni nini?
Tafadhali pitia post #23
Ndo msingi wa hoja yangu ulipo.......tuna nafasi ya kutype kama hv sababu ya uimara wa usalama wa taifa.
 
Ni nini taifa linaenda kupata kwenye uwekezaji wa bandari? Ni kipi linaenda kupoteza kwenye uwekezaji huu?
Linaenda kupata fedha nyingi....nyingi sana!
Linaenda kupata trust,
Linaenda kupata heshma itakayotokana na uaminifu.......no more delayment, no more vishokas.
Linaenda kusisimuka kimaendeleo.

Hakuna linachoenda kupoteza, labda vi'stroke' vya hapa na pale vitakavyotokana na kushindwa kwa hawa haters kina lissu na yule mzee aliyefeli tayari, silaa, na wachache wa humu wanaojifariji kwa kujiita 'watanzania' wakati ni 'vitanzania'.
 
Tiss ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.

Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na serikali.

Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.

Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.

Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.

Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.

Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Kwa hiyo unategemea taasisi kama hizo zikafanye siasa hii tumeuzwa ni makelele ya siasa watu wamepata momentum ya kuspin ili waweze kupata comeback kwa kuwa ndio aina za siasa wanazoona zitawapa umaarufu ndio maana wameachiwa wapige makelele siasa ni utofauti wa kisera wengine watataka hivi na wengine watataka vile lazima uwe analytical la sivyo utakuwa prey wa wanasiasa wanaotafuta comeback kwenye siasa.
 
Tiss ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.

Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na serikali.

Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.

Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.

Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.

Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.

Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Tiss ilikuwa zamani, sasa hivi wamejazana vilaza kutoka uvccm na watoto wa vigogo wa ccm
 
Unakosea sana, omba msamaha kwa TISS. Mi sijui kazi zao ila nina uhakika 💯 waliona kila kitu na wakashauri mkataba ulipita kwa sababu ni mzuri.
 
Back
Top Bottom