Lawama zetu ni kwa Idara ya Usalama wa Taifa kukosa uzalendo, weledi na kushindwa kumshauri Rais

Umeongea mambo ya Msingi sana.

-Wakubwa ndiyo wanapendekeza watoto au ndugu zao waende "Theeth" kwa vimemo
-YouVisisiemu ndiyo candidates wa "Teeth" wanakuwa selected kwa vimemo vya wanasiasa.
-Wachache sana wanaokuwa Picked kutoka JKT/Colleges/Universities.

Yericko Nyerere alishauri sana hiyo taasisi ifanyiwe marekebisho ,naungana na wewe ,wasiingiliwe na wanasiasa ,wadili sana na ujasusi wa kidola na kiuchumi na si ujasusi wa kisiasa(Kufanya mambo ya kisiasa).
 
Tiss ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.

Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na serikali.

Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.

Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.

Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.

Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.

Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Wewe unajuaje kama hawajamshauri?? Na je unajua sio LAZIMA kuchukuwa ushauri???
 
Off topic. Unajua tokea enzi za James Angleton, mkurugenzi wa CIA wa wakati huo miaka 60 na sakata lile la kashfa ya Watergate scandal lililomuondoa Nixon kitini. Congress wakaona wasipoidhibiti kitengo kutumiwa kisiasa na wanasiasa kila wakijisikia, itawatumbukiza kwenye mgogoro wa kikatiba na kuleta mtafuruku mwingine zaidi ya uliopita.

Hivyo, bunge likabadili baadhi ya vifungu kuwafunga speed governor CIA. Point yangu hapa ni kwamba TISS wao kama wao hawana shida kiutendaji, bali ni ile kutumiwa kisiasa kwa maslahi binafsi ya mwanasiasa, na hapo kunapotokea conflict of interest, hapo kamzozo kanapoanzia kingine, nepotism. Laiti ingebadilishwa kwenye baadhi ya vipengele vya kimuundo na kiutendaji ili kuendana na usasa. Nawaza sana endapo chama tawala kikitoka madarakani au itokee muungano uvunjike, in whatever circumstances, pasipo kutarajia, kama hiki kitengo kita brace for impact. Anyway, acha tuone.
 
TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.

Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na Serikali.

Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.

Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.

Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.

Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.

Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
 
Attachments

  • 5117362-148efa178040dfcd6b51b581965e1bf3.mp4
    25.4 MB
Linaenda kupata fedha nyingi....nyingi sana!
Linaenda kupata trust,
Linaenda kupata heshma itakayotokana na uaminifu.......no more delayment, no more vishokas.
Linaenda kusisimuka kimaendeleo.

Hakuna linachoenda kupoteza, labda vi'stroke' vya hapa na pale vitakavyotokana na kushindwa kwa hawa haters kina lissu na yule mzee aliyefeli tayari, silaa, na wachache wa humu wanaojifariji kwa kujiita 'watanzania' wakati ni 'vitanzania'.
Kwa jibu hili sasa nimekuelewa kuhusu utetezi wako wa Idara yetu ya Usalama.
 
TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.

Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na Serikali.

Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.

Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.

Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.

Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.

Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
naona ni ushabiki tu sasa embu tuambie tatizo la DP world ukituambia kabla ya ujio wao na what is expected wakianza kazi ili tuone huo ubaya wao , sio kulaumu usalama wetu wa taifa kwa chuki zako
 
TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.

Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na Serikali.

Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.

Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.

Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.

Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.

Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Mkuu umesema idara inalinda watawala na bado hao watawala unawataka waivunje wakati wanafaidika nayo yaani hapo tusitegemee lolote. Tumekuwa na idara inayolinda maslahi ya mtu mmoja mmoja na si taifa hii ni hatari sana kwa nchi yetu.

Natamani Boniphace Kajunjumele Mwabukusi apewe nchi ni kama ni mtu pekee kwa sasa mwenye ujasiri wa kuyaona masuala ya nchi yanavyokanyagwa na kukemea hadharani bila uoga wowote na hana mrengo wowote wa kisiasa yuko mrengo wa uzalendo. Tatizo ni deep state ipi inayoweza kuwa jasiri kuucha humu mfumo maslahi binafsi. Hapa ni kumwachia tu Mungu maana yeye anaweza kuleta mabadiliko pasipowezekana.
 
Sasa unaingilia kazi usizozielewa. Usiipime kabisa itelijensia ya Tanzania.
Hayo ni maneno pekee yaliyobaki ya kutuogopesha lakini ukweli idara haiko kwa maslahi ya taifa kwa sasa. Hata kama hatuna ujuzi na idara hii lakini tuna macho na masikio ya kuona na kusikia kinachoendelea nchini. Nchi imekuwa shamba la bibi kila mwenye kisu kikali anajitwalia mazao ya nchi.
 
Nadhani na katiba inachangia, kuna mtu anaweza kumwambia rais hapana nchi, huyo dg wa tiss ni mteuliwa wa rais ikumbukwe.
Katika nchi zinazofuata falsafa, fikra na sera ya Ujamaa/Ukomunisti, kuna msingi wa utawala kwamba "raia wote ktk nchi ni mateka wa Mwenyekiti, na Mwenyekiti ndiye mtu pekee ktk nchi ambaye ana akili nyingi zaidi kuliko mtu mwingine yoyote yule."
 
TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.

Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na Serikali.

Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.

Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.

Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.

Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.

Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Ita kuwaje na meno wakati ime jazwa chawa?
Ita kuwaje na meno wakati wabunge walioko bungeni kiharamu wame pitisha sheria TISS iwe chini ya ofisi ya rais?
Hivi ni nani ata thubutu kumkatalia rais?
Yaani Tz ipo ipo tuu.
Ni sawa na hii issue ya kesi ya kina Mdee.
Hivi Jaji ali shindwa kutoa kura za wajumbe wa kamati kuu awape kina Mdee aone kama wange shinda?
Yaani ana ona ni bora waendelee kula pesa haramu bungeni kuliko kutenda haki.
Kuna watu wata fika. Mbinguni wame choka sana. Na hao sio wengine ni Ccm
 
Back
Top Bottom