Idara sasa ina umuhimu gani kama usalama wa nchi kiuchumi haulindwi?. Wewe ndio humuelewi, au umejitoa kuelewa. Hayuko kichama yeye amekuwa neutral na kutamani idara isaidie taifa kwa ujumla wake, isifanye kwa utashi wa chama fulani wala kiongozi aliye juu, ikibidi sheria ibadilishwe ili iwe huru.Idara ya usalama si ya kindezi hivyo, mtoa mada hana tu uwezo wa kuelewa mipangilio yao. Ye ajikite kwenye vitu vyenye uwezo wake........habari za singeli na za kina hamisa mobeto.
Sasa unaingilia kazi usizozielewa. Usiipime kabisa itelijensia ya Tanzania.Tiss ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.
Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na serikali.
Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.
Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.
Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.
Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.
Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Intelijensia ya kujenga misikiti?Sasa unaingilia kazi usizozielewa. Usiipime kabisa itelijensia ya Tanzania.
"saga" ndiyo nini?Kwa hiyo idara ya usalama inahusika kwenye hii saga inayoendelea?
Shule ulisome ujinga au?"saga" ndiyo nini?
Tafuta dictionary"saga" ndiyo nini?
Ma shaa Alah, tatizo lako ni misikiti?Intelijensia ya kujenga misikiti?
Sijakuelewa, sikioni cha "saga" wala sagwa hapa.Shule ulisome ujinga au?
As long as usalama wa nchi na mali zake na watu wake unahusika, yes wanajua issue iko salama tu kwa nchi ndo maana imebarikiwa hadi kukufikia wewe. Hawa wapingaji ni wale ambao hupinga hata pale wananchi wanapojitolea......kosa wakose ulaji tu.Kwa hiyo idara ya usalama inahusika kwenye hii saga inayoendelea?
Ni nini taifa linaenda kupata kwenye uwekezaji wa bandari? Ni kipi linaenda kupoteza kwenye uwekezaji huu?As long as usalama wa nchi na mali zake na watu wake unahusika, yes wanajua issue iko salama tu kwa nchi ndo maana imebarikiwa hadi kukufikia wewe. Hawa wapingaji ni wale ambao hupinga hata pale wananchi wanapojitolea......kosa wakose ulaji tu.
Tafadhali pitia post #23Idara sasa ina umuhimu gani kama usalama wa nchi kiuchumi haulindwi?. Wewe ndio humuelewi, au umejitoa kuelewa. Hayuko kichama yeye amekuwa neutral na kutamani idara isaidie taifa kwa ujumla wake, isifanye kwa utashi wa chama fulani wala kiongozi aliye juu, ikibidi sheria ibadilishwe ili iwe huru.
Je hapo ubaya wake mtoa mada ni nini?
Linaenda kupata fedha nyingi....nyingi sana!Ni nini taifa linaenda kupata kwenye uwekezaji wa bandari? Ni kipi linaenda kupoteza kwenye uwekezaji huu?
Nakuzidi wewe mkuu?!!!We mjinga sana. Nyinyi ni mandezi sana
Hana shida as long as mwislamu mwenzie yupo IkuluFaizaFoxy yee anaona poa tu, Waarabu watansaidia kuingia peponi
Kwa hiyo unategemea taasisi kama hizo zikafanye siasa hii tumeuzwa ni makelele ya siasa watu wamepata momentum ya kuspin ili waweze kupata comeback kwa kuwa ndio aina za siasa wanazoona zitawapa umaarufu ndio maana wameachiwa wapige makelele siasa ni utofauti wa kisera wengine watataka hivi na wengine watataka vile lazima uwe analytical la sivyo utakuwa prey wa wanasiasa wanaotafuta comeback kwenye siasa.Tiss ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.
Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na serikali.
Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.
Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.
Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.
Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.
Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Tiss ilikuwa zamani, sasa hivi wamejazana vilaza kutoka uvccm na watoto wa vigogo wa ccmTiss ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.
Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na serikali.
Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.
Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.
Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.
Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.
Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Unakosea sana, omba msamaha kwa TISS. Mi sijui kazi zao ila nina uhakika 💯 waliona kila kitu na wakashauri mkataba ulipita kwa sababu ni mzuri.Tiss ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.