King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wewe unajuaje kama hawajamshauri?? Na je unajua sio LAZIMA kuchukuwa ushauri???Tiss ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.
Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na serikali.
Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.
Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.
Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.
Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.
Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Hii nchi chini ya CCM haijawahi kuwa seriousSasa kama akina sabaya uvccm ndio teeth wenyewe unategemea nn?
TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.
Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na Serikali.
Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.
Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.
Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.
Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.
Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Wapumbavu kabisaKazi yao ni kuukimbia na manoksi ya Kura na kupambana na CHADEMA
Kwa jibu hili sasa nimekuelewa kuhusu utetezi wako wa Idara yetu ya Usalama.Linaenda kupata fedha nyingi....nyingi sana!
Linaenda kupata trust,
Linaenda kupata heshma itakayotokana na uaminifu.......no more delayment, no more vishokas.
Linaenda kusisimuka kimaendeleo.
Hakuna linachoenda kupoteza, labda vi'stroke' vya hapa na pale vitakavyotokana na kushindwa kwa hawa haters kina lissu na yule mzee aliyefeli tayari, silaa, na wachache wa humu wanaojifariji kwa kujiita 'watanzania' wakati ni 'vitanzania'.
naona ni ushabiki tu sasa embu tuambie tatizo la DP world ukituambia kabla ya ujio wao na what is expected wakianza kazi ili tuone huo ubaya wao , sio kulaumu usalama wetu wa taifa kwa chuki zakoTISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.
Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na Serikali.
Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.
Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.
Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.
Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.
Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
naona ni ushabiki tu sasa embu tuambie tatizo la DP world ukituambia kabla ya ujio wao na what is expected wakianza kazi ili tuone huo ubaya wao , sio kulaumu usalama wetu wa taifa kwa chuki zako
Mkuu umesema idara inalinda watawala na bado hao watawala unawataka waivunje wakati wanafaidika nayo yaani hapo tusitegemee lolote. Tumekuwa na idara inayolinda maslahi ya mtu mmoja mmoja na si taifa hii ni hatari sana kwa nchi yetu.TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.
Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni mwendo wa vimemo tu kutoka kwa wakubwa wa chama na Serikali.
Idara imejawa na watu wenye pua zisizonusa, macho yasiyo ona wala masikio yasio sikia hatari yoyote kabla haitokea.
Hili suala la DP WORLD ni matokeo ya uajili mbovu wa watu wasio na sifa za kiwemo kwenye taasisi nyeti kama Tiss.
Leo idara inatumika kulinda maslahi ya watawala na sio maslahi ya taifa. Hili ni janga kubwa, nchi iko uchi.
Tunaomba rais aivunje idara hii isukwe upya, na sheria ile iliyosainiwa na Bwana Ben Mkapa ifanyiwe marekebisho makubwa, ili idara kisiwe chombo cha chama chochote na kisiingiliwe na yeyote.
Watanzania tunataka idara yenye meno kwa wote, watawala wakubwa, wa kati, wachini na sisi tusio na mbele wala miguu tupate same treatment kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Haya mambo ya DP WORLD yasiweze kujirudia tena. Hii ni kashfa kubwa kwa taasisi nyeti na nchi nzima kwa ujumla wake
Hayo ni maneno pekee yaliyobaki ya kutuogopesha lakini ukweli idara haiko kwa maslahi ya taifa kwa sasa. Hata kama hatuna ujuzi na idara hii lakini tuna macho na masikio ya kuona na kusikia kinachoendelea nchini. Nchi imekuwa shamba la bibi kila mwenye kisu kikali anajitwalia mazao ya nchi.Sasa unaingilia kazi usizozielewa. Usiipime kabisa itelijensia ya Tanzania.
Kazi yao ni kuukimbia na maboksi ya Kura na kupambana na CHADEMA
😂Umeandika kwa uchungu sana aise. Hii inasikitisha sana, watu wanakula mishahara bure na hamna wanalolifanya
Katika nchi zinazofuata falsafa, fikra na sera ya Ujamaa/Ukomunisti, kuna msingi wa utawala kwamba "raia wote ktk nchi ni mateka wa Mwenyekiti, na Mwenyekiti ndiye mtu pekee ktk nchi ambaye ana akili nyingi zaidi kuliko mtu mwingine yoyote yule."Nadhani na katiba inachangia, kuna mtu anaweza kumwambia rais hapana nchi, huyo dg wa tiss ni mteuliwa wa rais ikumbukwe.
Ita kuwaje na meno wakati ime jazwa chawa?TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.