City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Aisee!Kwa hii comment na Kwa cheo kipya Cha mkurugenzi Wetu itabidi sisi Members tukupe ukaribu na weekly checkup ya upatikanaji wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!Kwa hii comment na Kwa cheo kipya Cha mkurugenzi Wetu itabidi sisi Members tukupe ukaribu na weekly checkup ya upatikanaji wako.
Hii kauli ya "mwisho wa umeme kukatika ni ..... "Acheni lawama, mama alishasema mwisho wa umeme kukatika ni mwezi wa tatu...waacheni TANESCO watekeleze majukumu yao halali
Mashirika ya umeme kwenye nchi zilizoendelea yapo mengi yana pishana size and strategies approaches.Nioneshe nchi moja duniani yenye shirika moja tu la umeme linalofanya production mpaka distribution lililofanikiwa.
Huwa sikisii.
Umesahau kuna shirika la umeme la mkoa mmoja uliozungukwa na maji, ambalo halizalishi umeme wake na halilipi kwa shirika mama, kazi yake ni kuchukua mapato na kuyaweka kibindoniBila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.
Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.
Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?
Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".
Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.
Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.
Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.
Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.
Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.
Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?
Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?
Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi kama wa Dkt. Gwajima D wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.
Tatizo siyo kuunganishwa au kutokuunganisha kwenye gridi ya taifa. Gridi ya taifa hakuna zaidi ya switching tu, na hilo linaweza kufanyika hata kwa mashirika tofauti.Kigoma haikuwa imeunganishwa kwenye gridi ya taifa hadi September 2022.
Mlioko huko tuambieni hali ya upatikanaji wa majenereta umeme ilikuwaje.
Aliyetoa ahadi ya mwisho wa Mgawo wa Umeme mwezi wa tatu mbele ya Kamera ni nani?Matatizo yanajulikana kinachotakina ni utatuzi wa tatizo na ndilo lililopo kwenye post namba 1.
Waulize CCMNioneshe nchi moja duniani yenye shirika moja tu la umeme linalofanya production, transmission mpaka distribution lililofanikiwa.
Huwa sikisii.
It was evident kwamba Uko shallow kwenye reforms za mifumo Muhimu na mikubwa kama tanescoBila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.
Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.
Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?
Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".
Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.
Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.
Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.
Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.
Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.
Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?
Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?
Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi kama wa Dkt. Gwajima D wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.
Mkumbo na Mchechu wameteuliwa na huko Tanesco kuna wateule pia. Tatizo mteuaji.Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.

Wawe na mwaka au wawe na mwezi mmoja, jiulize wewe ambae upo "deep" waliwekwa kufanya kazi gani zaidi ya kuweka sawa mashirika ya umma yasiyotenda ipasavyo?It was evident kwamba Uko shallow kwenye reforms za mifumo Muhimu na mikubwa kama tanesco
Hakuna unachojua
The two unaowataja hawana hata mwaka kwenye ofisi and are also undergoing their own reforms
Regional tanesco is another stupidest idea
Najua umetumwa…. But sometimes sio kila parcel unabeba
It will take at least three years kuanza kuona changes za tanesco tena IKIWA attachwa afanye kazi bila interference
Naona unajichanganya tu, nisome tena, nasema kila mkoa uwe na shirika lake la umeme. Nini huo mkoa inafanya na umeme itaununua mkoa upi au itauuza mkoa upi itakuwa ni jukumu la huo mkoa.Mashirika ya umeme kwenye nchi zilizoendelea yapo mengi yana pishana size and strategies approaches.
Kwanza distribution ya umeme sehemu kubwa inamilikiwa na central government kama incentive.
Lakini kuna maeneo mengine kuna mashirika yana miliki production, supply and retail (kama TANESCO).
Hayo sio maamuzi ya ufanisi ni uwezo wa resources.
Sasa embu tueleze source za uwezo kila mkoa kuwa na uwezo wake wa umeme, distribution infrastructure and retail.
Unajiropokea tu