MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Kafia India.. Anyways, tuendelee kupambana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa NBC si alikua mhazini tu? AnahusikaKwasasa Nchi iko hoi hata Miradi ni kusua sua hawa watu mnaosema wamesoma wanasaidiaje??? Watanzania ni mabingwa kwa maneno ila njoo kwenye kazi ni zero...Huyu jamaa alikua NBC ikafa jumla leo iko chali
Jamaa alipewa jukumu la kutengeneza dira ya taifa 2025, na mwezi huu alitakiwa kuwasilisha rasimu ya dira. LohUmeandika code niliyotaka kuandika, vijana na wale wenye tamaa na madaraka msikie na kusoma maneno haya.
Ukiweza kufanya mambo yako fanya, ukitaka ya serikalini nenda ila kumbuka kubeba shuka yako wkt wote.
Nafasi tupu tayari.💔😭😭😭
My former boss. Inna lillah wainna ilayh rajiuun
Unaogopa kufanya uovu sababu fulani kafa kwa Ukimwi au unaogopa kwa ajili ya maadili? Adhabu ya kuua ni kifo lakini watu wanaendelea kuuana.Ifike hatua mtu akifariki wawe wanaweka wazi Watu Tuogope kufanya Uovu, Kama mtu kafariki kwa Ukimwi isemwe kweli, kafatiki kwa pombe isemwe kweli, acheni kuwa mnasingizia mafua au kisukali wakti Mtu kafariki kwa Ukimwi.
R.I.P Grace Mapunda na Lawrence Mafutu💔💔
Ehh!!Ifike hatua mtu akifariki wawe wanaweka wazi Watu Tuogope kufanya Uovu, Kama mtu kafariki kwa Ukimwi isemwe kweli, kafatiki kwa pombe isemwe kweli, acheni kuwa mnasingizia mafua au kisukali wakti Mtu kafariki kwa Ukimwi.
R.I.P Grace Mapunda na Lawrence Mafutu💔💔
Wewe watangazee ndugu Yako inatosha.Ifike hatua mtu akifariki wawe wanaweka wazi Watu Tuogope kufanya Uovu, Kama mtu kafariki kwa Ukimwi isemwe kweli, kafatiki kwa pombe isemwe kweli, acheni kuwa mnasingizia mafua au kisukali wakti Mtu kafariki kwa Ukimwi.
R.I.P Grace Mapunda na Lawrence Mafutu💔💔
Naelekea kupona mkuu...😊Ningeshangaa hii komenti yako isiwepo.vipi lakini umepona
Hutaki kupendwa? Unataka uchukuwe mkuu?Hunijuwi sikujuwi. Tafadhali tuheshimiane.
Hiyo ni "social harassment", udhalilishaji wa kwenye mtandao.
Natumai uongozi wa JF wanaliona hili na wanafahamu majukumu yao ya kuzuwia udhalilishaji mitandaoni.
Zina kuwaga na shida hizi kwaniAlikuwa anakunywa chai ya ofisini?
Kwann kupata ukimwi iwe uovu una tofauti na anayepata kisukari au presha sabb ya kula sanaIfike hatua mtu akifariki wawe wanaweka wazi Watu Tuogope kufanya Uovu, Kama mtu kafariki kwa Ukimwi isemwe kweli, kafatiki kwa pombe isemwe kweli, acheni kuwa mnasingizia mafua au kisukali wakti Mtu kafariki kwa Ukimwi.
R.I.P Grace Mapunda na Lawrence Mafutu💔💔
Ofisini kuwekeana sumu au uchawi ni kawaidaZina kuwaga na shida hizi kwani
Victorie nakuita mara tatu...
Watu wana gombea ofisi kama za wazazi wao 😄Ofisini kuwekeana sumu au uchawi ni kawaida