TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

Mimi nimekuwa mwenyekiti uvccm, katibu uvccm then kiongozi on some circumstances.
●Nowadays, wewe ndo akili zimekurudi then unajua mtu fulani hata kama wa chama changu kuna sehemu anakosea/wrong.
●Mfano ni mkuu wa mkoa wa dar now huwa mara kibao anazingua refer kauli ya mhe raisi akimu reinstate alimuambia "Uache mambo ya kitoto ".
●Ila wewe sasa kwa kipindi kile ulipitiliza uchawa. Ndo kipindi chenu uchawa ulipozaliwa.
●wewe "Mudawote" ndio chimbuko la machawa na kizazi chote cha machawa.
 
Yaani super hero1 ningekuwa moderator ningekulamba bani la hata nusu saa ukajifunze adabu. Dkt Magufuli tutaendelea kumtetea na kazi zake! Sisi hatukuwa chawa tuliamua kumsemea kwa ukweli na bado ni royal kwake
 
Yaani super hero1 ningekuwa moderator ningekulamba bani la hata nusu saa ukajifunze adabu. Dkt Magufuli tutaendelea kumtetea na kazi zake! Sisi hatukuwa chawa tuliamua kumsemea kwa ukweli na bado ni royal kwake
Point to note.
Usiwalaumu machawa wa saizi ninyi ndo mliozalisha uchawa enzi zenu.
●Hadi huwa nakuwa na "endless question " juu yako kuwa umepigaje "U-turn"???
●From uchawa to maturity.
 
Kwa hiyo wewe huwezi kuishi kwa maadili mpaka utishiwe
 
Afya ya mtu ni jukumu binafsi sio mpaka itangazwe mtu kaungua. Trust none, mpaka umemuita Mafutu
 
RIP brother, kwenye moja ya MD's Road Tour,tulipokuwa NBC ulisema,unashangaa sana kuona Ma-Head na Ma-Manager wanalalamika kwa nini wasitoe solutions!? You used to speak "constructive truth" RIP.
Tuko vizuri kulalama kuliko kuleta suruhu mfano hata humu unaweza kuona keyboard expertise wa kila jambo wapo humu.
 
 
Alikuwa jizi,tu, wala simungunyi maneno,huyu na mkapa, ndio waliuza NBC benk kwa bei ya kutupa, Maghu alimtumbua alipokuwa hazina,kizimkazi, akamrudisha,
TZ is better off without him, he used is expertise to plunder and steal!
Sio kweli, huyu Mafuru hakuwepo NBC wakati inabinafsishwa! CEO wakati NBC inauzwa alikuwa Donald Kamori.
 
Nakubaliana na wewe hawa wote walikuwa ni third class students waliokuwa chawa wa Kikwete Ndio maana akawajaza Ikulu kwenye mradi wake wa wizi wa “ Best Results Now” ukiongozwa na Issa ; mara baada ya Magufuli kuingia Ikulu aliufutilia mbali huu mradi wa kifisadi toka mkopo wa benki ya dunia!!
Huyu Issa , Samia amenrudisha yuko planning commission ingawa huko nyuma ndiye alikuwa dalali wa kuliuza shirika la TTCL kwa wahindi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…