shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Ningeshangaa hii komenti yako isiwepo.vipi lakini umeponaR.i.P Classmate...😥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeshangaa hii komenti yako isiwepo.vipi lakini umeponaR.i.P Classmate...😥
Hunijuwi sikujuwi. Tafadhali tuheshimiane.Bado Nakupenda Faiza
My sister out of curiosity pamoja na maakili yote (ambayo najua unayo). Ila unakatabia cha kumdhihaki ‘The Genius’ Dr Dorothy Gwajima, nikuulize tu out of curiosity kabisa kwenye kichwa chako unaakili hata ya nusu alizonazo?Utajaza mwenyewe.
Mapenzi si Udhalilishaji, Kwahiyo nisikueleze hisia zangu? Hebu kuwa na huruma tafadhaliHunijuwi sikujuwi. Tafadhali tuheshimiane.
Hiyo ni "social harassment", udhalilishaji wa kwenye mtandao.
Natumai uongozi wa JF wanaliona hili na wanafahamu majukumu yao ya kuzuwia udhalilishaji mitandaoni.
Kuna namna..
RIP classmateView attachment 3147717
Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amefariki Dunia leo Novemba 9, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India.
Rais Samia Suluhu Hassan ameandika katika Mitandao yake ya Kijamii kuhusu Kifo cha Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango,
View attachment 3147755
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India.
Ninatoa pole kwa familia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Mheshimiwa Prof. Kitila Alexander Mkumbo, watumishi wa Tume ya Mipango, ndugu jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.
Bw. Mafuru atakumbukwa kwa utumishi wake uliotukuka, bidii na ubunifu alipotumikia nafasi mbalimbali ndani ya Serikali.
Mwenyezi Mungu aijalie familia yake subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu na ailaze roho yake mahali pema."
Wasifu wa Mafuru
Lawrence Mafuru ni mtaalamu mashuhuri wa masuala ya fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika benki, uwekezaji, na sera za serikali. Ni Certified Chartered Banker kutoka Taasisi ya Wataalamu wa Benki ya London na pia ni Certified Financial Markets Dealer aliyeidhinishwa na ACI Financial Markets.
Alianza safari yake mwaka 1998 katika Benki ya Standard Chartered, akijikita katika Ufadhili wa Biashara za Kimataifa. Kwa kipindi cha zaidi ya miongo miwili iliyofuata, alishika nyadhifa mbalimbali za uongozi katika sekta ya fedha nchini Tanzania, ikiwemo kuwa Mkuu wa Hazina katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, na Mwenyekiti wa Chama cha Mabenki Tanzania (TBA).
Uzoefu wake unaenda zaidi ya benki za biashara, kwani pia aliwahi kuhudumu kama Msajili wa Hazina katika Wizara ya Fedha. Kama mamlaka inayotambulika katika masuala ya benki na fedha, Bw.
Mafuru huombwa mara kwa mara kuwa mzungumzaji kwenye mijadala ya sekta hiyo. Ana shauku ya kutumia utaalamu wake ili kuleta manufaa kwa wateja na wadau wake.
Kabla ya nafasi yake ya sasa, Bw. Mafuru alichangia pakubwa katika kuunda sera za uchumi za Tanzania. Alihudumu katika Wizara ya Fedha kama Kamishna wa Idara ya Uchambuzi wa Sera na baadaye kama Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Sera za Usimamizi wa Uchumi.
Hadi kifo kinamkuta, Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru alikuwa akihudumu kama Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango.
😷😷😷😷Juzi juzi tulikuwa naye kwenye mkutano anafanya presentation na alikuwa fiti kabisa. Dah, haya maisha.
Bila shaka sio ulozi na mambo ya kiswahiliView attachment 3147717

Binafsi mimi siamini KATIBA..vitabu vya dini vinasema USIZINI na bado watu wanapeleka moto mpaka kwa mpalane sembuse katiba,,,,,,RIP classmate
Mkuu funguka basi tupate funzoUKIMWI unaua. Rest in peace bro.
Hakuna asiye na akili duniani.My sister out of curiosity pamoja na maakili yote (ambayo najua unayo). Ila unakatabia cha kumdhihaki ‘The Genius’ Dr Dorothy Gwajima, nikuulize tu out of curiosity kabisa kwenye kichwa chako unaakili hata ya nusu alizonazo?
Una hoja kila kiumbe mwenyezi kampa uwezo wake, faida yake ni namna kila mtu anavyotumia alichopewa (hilo, darsa) kwangu food for thought.Hakuna asiye na akili duniani.
Mwenyezi Mungu hajafanya ubaguzi wa akili. Taofauti ni namna ya kuzitumia tu hizo akili.
Kafa akizini?Binafsi mimi siamini KATIBA..vitabu vya dini vinasema USIZINI na bado watu wanapeleka moto mpaka kwa mpalane sembuse katiba,,,,,,
Umeandika code niliyotaka kuandika, vijana na wale wenye tamaa na madaraka msikie na kusoma maneno haya.Ndiyo maana sipendi mamlaka, bora kuendelea kuwa mfanya biashara jamani. Bora angebaki na firm yake ya consultancy
Midekoo NAKUPENDAInalilah wainailah rajiun
Dogo kashawakaIla king huu mkono wa nyani maamaee utauondoa wengi sana janjaroo bado anadunda nao tu. Dogo tulimuonya atemane na Airinii akatuona mafala hadi akamuoa.
Mnh!😞😞Ila king huu mkono wa nyani maamaee utauondoa wengi sana janjaroo bado anadunda nao tu. Dogo tulimuonya atemane na Airinii akatuona mafala hadi akamuoa.
Mwezi ushaandamaKazi imeshaanza Mkuu bado kama Watatu au Wanne hivi. Cheza na Vitu vyote duniani ila siyo Mchezo wa Mrusi Putin.