Lawrence Mafuru aliewahi kuwa MD wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ateuliwa kuwa Kamishina wa Sera Wizara ya Fedha

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha.

Hakuna mahala uteuzi huo umetangazwa ila nimebahatika kuona tangazo kutoka kwenye taasisi yake ya Bankable Institute kwamba amejiuzuru majukumu ya mshirika mtendaji (managing partner) kutokana na kuteuliwa kua kamishna wa sera wizara ya fedha.

Sina tatizo na uteuzi wa Mafuru, najua ni mtaalam mbobezi, mjuzi, ana uzoefu maarifa makubwa lakini swali langu ni kwa nini watu ni wale wale.

Kwamba nchi hii mtandao ni ule ule ndio unatakiwa kula keki ama neema ya nchi hii, watu wale wale. Nilishangaa juzi Balozi Batrida anateuliwa katibu tawala wa mkoa baadae mkuu wa mkoa, unajiuliza mtu amekua hadi balozi bado hawezi kuishi bila kuajiriwa?

Mafuru ana taasisi yake ya Bankable Institute, ambayo bado kama atahitajika kusaidia taifa basi ni rahisi kumpata ama kupata ushauri wake kupitia hiyo taasisi na akaendelea kuneemeka na mema ya nchi hii.

Sijawahi kusikia mtu kutoka taasisi ama sekta binafsi amepewa nafasi serikali akaikataa, sijawahi kusikia, simaanishi hawapo ila sijawahi kusikia.

Hii inatupatia picha kwamba kujiajiri bado ni changamoto ndio maana watu watazuga wamejiajiri ila ikitokea ofa za serikali hawawezi kuzikataa, kwa maana kwamba maisha ya utumishi serikalini ni mazuri na matamu kuliko kujiajiri.

Hii nchi ina watu milioni 60, kwa nini kila siku ni wale wale tu, wanatoka hapa wanaenda pale, wanatoka huku wanaenda kule.

CCM wametemgeneza mfumo wa hovyo sana wa nchi hii.

Screenshot_20211103-083422_WhatsApp.jpg
 
Duuh imefanyika kimya kimya...ila jamaa ana bahati sana
 
Labda wanafanya hivyo kwa kuangalia sifa za wateuliwa.
 
Uteuzi wake ulitangazwa, pia kwake ni demotion siyo promotion maana kutoka MD wa NBC hadi kaminishina ni demotion kubwa, kuhusu kujiajiri ni kazi ngumu sn tena sn watu wapo CCM ajili ya kutafuta fursa wao na familia zao sababu hawezi kusimama wao kama wao pia mazingira ya biashara ni magumu sn kodi kibao na michango pia usumbufu mkubwa.
 
Usimchukulie poa kamishna wa sera hazina!
 
Mafuru huyo huyo mwezi mmoja uliopita aliteuliwa na January Makamba kuwa mjumbe wa bodi ya Tanesco.

Kipindi cha Magufuli, huyu Mafuru alitimuliwa kutoka serikalini kwa kashfa za kifisadi, na sasa anarejeshewa vitu vyote vinono.

Tutaonana mengi sana chini ya CCM.
 
Uteuzi wake ulitangazwa, pia kwake ni demotion siyo promotion maana kutoka MD wa NBC hadi kaminishina ni demotion kubwa, kuhusu kujiajiri ni kazi ngumu sn tena sn watu wapo CCM ajili ya kutafuta fursa wao na familia zao sababu hawezi kusimama wao kama wao pia mazingira ya biashara ni magumu sn kodi kibao na michango pia usumbufu mkubwa.
Naomba niksahihishe kidogo mkuu.

Mafuru alipotoka NBC aliteuliwa na Kikwete kuwa Msajili wa Hazina ambapo alihudumu muda mrefu kidogo kabla ya kufurushwa na JPM
 
Hao ndo wanatakiwa wawejenge vijana wabebe majukumu makubwa, siyo kama wale maprofessa waliojifanya miungu watu hawawezi kuendelea kufanya kazi na bado hawakuandaa vijana na kuishia kutengeneza uhaba mkubwa wa wahadhiri kwenye vyuo vikuu........
 
Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha.

Hakuna mahala uteuzi huo umetangazwa ila nimebahatika kuona tangazo kutoka kwenye taasisi yake ya Bankable Institute kwamba amejiuzuru majukumu ya mshirika mtendaji(managing partner) kutokana na kuteuliwa kua kamishna wa sera wizara ya fedha.

Sina tatizo na uteuzi wa Mafuru, najua ni mtaalam mbobezi, mjuzi, ana uzoefu maarifa makubwa lakini swali langu ni kwa nini watu ni wale wale.

Kwamba nchi hii mtandao ni ule ule ndio unatakiwa kula keki ama neema ya nchi hii, watu wale wale. Nilishangaa juzi Balozi Batrida anateuliwa katibu tawala wa mkoa baadae mkuu wa mkoa, unajiuliza mtu amekua hadi balozi bado hawezi kuishi bila kuajiriwa?

Mafuru ana taasisi yake ya Bankable Institute, ambayo bado kama atahitajika kusaidia taifa basi ni rahisi kumpata ama kupata ushauri wake kupitia hiyo taasisi na akaendelea kuneemeka na mema ya nchi hii.

Sijawahi kusikia mtu kutoka taasisi ama sekta binafsi amepewa nafasi serikali akaikataa, sijawahi kusikia, simaanishi hawapo ila sijawahi kusikia.

Hii inatupatia picha kwamba kujiajiri bado ni changamoto ndio maana watu watazuga wamejiajiri ila ikitokea ofa za serikali hawawezi kuzikataa, kwa maana kwamba maisha ya utumishi serikalini ni mazuri na matamu kuliko kujiajiri.

Hii nchi ina watu milioni 60, kwa nini kila siku ni wale wale tu, wanatoka hapa wanaenda pale, wanatoka huku wanaenda kule.

Ccm wametemgeneza mfumo wa hovyo sana wa nchi hii.
View attachment 1996590
Usichanganye.
MFUMO unayo (recycling bin). Ila na yenyewe ilishakuwa mbovu!
System failure?
Yes! Absolutely!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Polepole hakukosea. Huenda serikali ya nyuma ya pazia imerejesha madaraka baada ya magufuli kufa. Wanarudishwa kujipanga kutumikia ubeberu. Huyo mafuru kina batilda maharage majaa januari etc etc ni walewale wa awamu ya 4. Enzi hiyo nchi ilipigwa vilivyo na ubeberu wakisaidiwa na mawakala wao. Ndio sasa wanajipanga upya. Kwa kweli inakasirisha sana kuona watu utafikiri nchi hii ni mali yao binafsi.
 
Mwisho wa siku kikubwa FOCUS. Dunia ya sasa ni Dunia ya kibepari. Ku-solve hili tatizo ni kutengeneza empire yako mfano yule his holiness wa Pakistan mwenye mahispotali, bima bank chuo kikuu etc na wengine kama hao.
(Nawaza)
 
Mafuru ni mtendaji mzuri sana kwa ujumla hii Team yaani Mafuru, Maharage Chande, Sabasaba Moshingi, Mchechu, Gratis Sakaya hawa watu wakosmati sana kwa watu waliofanyakazi nao wanawajua utendaji wao..
 
Back
Top Bottom