"Ubao wa manispaa" my foot!Uwe unatembelea kwenye ubao wa manispaa utajua.
"Ubao wa manispaa" my foot!
Section 61, sub-section 2, Public Procurement Act of 2004 as amended and promulgated regulations zinakataza matangazo ya vificho ficho kama ya "ubao wa Manispaa."
Mianya ya procurement corruption inaanzia kwenye uwazi wa tenda. Wangapi wanapita manispaa kila siku kupitia ubao? "Constructive notice" inatakiwa iende far and beyond ubao wa ndani kuwafikia watu wengi iwezekanavyo, per law and regulations.
uliapply iyo tender ukakosa?
Mtafute njia mbadala, hayo magari yatapita wapi?
Ni wapi sheria imeruhusu kutangaza tenda ndani kabla ya kwenda nje? Mwongo mkubwa!... hata mie ni mwanasheria,,ubao sio tangazo la kificho,inaruhusu pia kuanzia ndani kabla ya kwenda nje.
wajameni kama nd hivyo bc sie wadogo hatuna chetu...tenda yeyote ya gvt mpaka ujulikane,da makweli, alianza kingunge na std ubungo, ss uchafu masha, amakweli tumeliwa--Ila hizo ni fadhila za kukosa ubunge amaaaaaa