....................wana mtoto na Kinje aitwae Junior....
Maane,
Amevumilia mengi vipi wakati alishajua toka siku ya kwanza kwamba wanafunga ndoa ya wanawake wengi ? Hawezi enda uza mkaa leo wakati alishajua yuko tayari kugawanya penzi. Mimi na wewe ndio hatuwezi, mwenzetu anaweza. Alikubali mwenyewe.
Yani, tumeshawabana wanawake mbavu vibaya mno, tumeandika katika sheria mwaka 1971 kwamba sisi tunaweza kuoa tunavyotaka, lakini nyinyi hamfurukuti, ni mme mmoja. Ha haa haaaaaa! Wewe na mimi ndio tunaona ya ajabu haya, baadhi ya wengine - wakiwemo wanawake - wanakubali.
Hao wazungu they are good in what...?
Ndivyo tulivyo tunashabikia mambo ya kijinga uasherati, wezi wanaiba tunaandamana kuwaunga mkono, tunaibiwa tunawapa wezi muda wa kutanua uraiani wakibembelezwa warudishe pesa walizoiba.
TANZANIA TUMEKWISHA !!!!!!!!
Ndivyo tulivyo tunashabikia mambo ya kijinga uasherati, wezi wanaiba tunaandamana kuwaunga mkono, tunaibiwa tunawapa wezi muda wa kutanua uraiani wakibembelezwa warudishe pesa walizoiba.
TANZANIA TUMEKWISHA !!!!!!!!
...this is just the beggining. Kijana mdogo bado damu inachemka mwacheni na huo unaweza ukawa mwisho wake kisiasa.
Licha ya binti huyo Bw. Masha anadaiwa kuwa na vidosho wengine kama kina Lulu, Lily Mziray, na Lorraine (kutoka Zimbabwe ambaye inadaiwa alipewa deportation order)
Madai haya yamekuja siku chache baada ya moratorium ya kutoingilia mambo ya binafsi ya viongozi kuvunjwa na watetezi wa CCM na hivyo kuashiria kuwa maneno ya Rais Kikwete kwenye mkutano Mkuu wa CCM mwaka jana kuwa hayana maana na hivyo katika mapambano haya wote ni ni "fair game".
Habari zilizomfikia nzi wetu zinaonesha kuwa katika sakata la kutumia madaraka kujishughulisha na mambo ya ufiska Bw. Masha hayuko peke yake. Orodha ya viongozi kadhaa wa serikali, siasa, na taasisi za umma imemalizika huku orodha ya machangudoa, vidosho na mahusiano na baadhi ya watoto wa kike wa Sekondari zikiwa wazi.
Uperuzi wa haraka haraka wa orodha hizo unaonesha kuwa baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitumia ziara mbalimbali nje ya nchi kwenda kufanya mambo yao ya ufuska au kutembelea wapenzi wao kwa gharama ya walalahoi.
Orodha hiyo inaonesha viongozi karibu wote ukiondoa wale ambao wamevunja mahusiano hayo miaka kama miwili iliyopita baada ya kuanza kupanda vyeo. Hata hivyo baadhi ya viongozi wa juu kabisa inaonekana hawajali na hawana mpango wa kufanya hivyo kwani wanaamini Watanzania hawajali mambo ya mahusiano ya viongozi wao kwa kadiri ya kwamba mambo hayo hayahusu mali, wakati au raslimali za Taifa.
Haijulikani kama Rais Kikwete anajua juu ya "mazoezi ya viungo" ya Waziri Masha anayoyafanya akitumia muda wa serikali na mali za umma na zaidi ya yote kuletea kashfa nafasi yake nyeti.
Tunaomba Bw. Masha ambaye ni mwanachama humu aje aelezee hizi tuhuma dhidi yake na kama wakati umefika kwa yeye kuachia cheo hicho cha umma.
Zaidi ya yote Bw. Masha anadaiwa kumpangishia nyumba binti huyo maeneo ya Mbezi. Wapasha habari wetu wametutonya kuwa sababu kubwa ya Masha kuanzisha mahusiano hayo ya pembeni na kuyagharimia kutokana na nafasi yake ya Uwaziri ni madai kuwa mke wake "amemzidi umri".
Kama Wanasiasa hawaruhusiwi kufanya biashara....anapata wapi hizo?Na kuhusu kutumia pesa ya serikali, kwanini tuanze kumtupia lawama mtu tusie na uhakika kama anatumia pesa ya walipa kodi kuhudumia hawara, na tunawaacha wanaojuliikana waziwazi kuwa wamekwiba pesa ya serikali? mf EPA etc.... huu ni unafki wa watanzania sisi. Kama kweli tuna hasira na pesa ya walipa kodi iweje issue ya EPA iishie kwenye screen za computer zetu? hakuna lolote lililofanyika zaidi ya kupiga soga tu hapa? kama hatuna la kufanya jamani twende nje tupunge upepo na kucheza football kwa afya na sio kuleta umbea na kuharibu macho kwa kuangalia screen siku nzima. Lol
Quote:
Originally Posted by vstdar
....................wana mtoto na Kinje aitwae Junior
WEWE KUNGURU MBONA WEWE HATA SN HUNA ACHA KUTAJATA WATOTO ZA WATU
UTAISHIA JR JR
MBAFU
Mla mla leo mla jana kala nini?????????????????