Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

Maane,

Amevumilia mengi vipi wakati alishajua toka siku ya kwanza kwamba wanafunga ndoa ya wanawake wengi ? Hawezi enda uza mkaa leo wakati alishajua yuko tayari kugawanya penzi. Mimi na wewe ndio hatuwezi, mwenzetu anaweza. Alikubali mwenyewe.

Yani, tumeshawabana wanawake mbavu vibaya mno, tumeandika katika sheria mwaka 1971 kwamba sisi tunaweza kuoa tunavyotaka, lakini nyinyi hamfurukuti, ni mme mmoja. Ha haa haaaaaa! Wewe na mimi ndio tunaona ya ajabu haya, baadhi ya wengine - wakiwemo wanawake - wanakubali.

Ni kweli alifahamu kuwa anaolewa na Muslim ambaye dini inaruhusu kuoa wanawake wengi. Japo mimi si mjuzi wa Quran but najua kuoa wanawake wengi inafuata taratibu maalum za dini yao na si kufanya uzinzi na kila mwanamke anayekupita machoni. Aoe kihalali na si kufuga wanawake kila kona ya Tanzania na nje pia. At least itamsaidia Salma kufuata hiyo roaster basi ili ajue zamu yake ni lini. kuliko kuwa hujui hata kalala wapi na lijimwanamke gani. Aibu.

Ila ukweli unabaki kuwa Penzi haligawanyiki, ni kujidanganya huko. Pia hata hao wanawake wa Kiislam wanakubali mke mwenza shingo upande tu. Nimeshaongea na wengi kwenye study zangu na asilimia 99 hawakubaliani na wake wengi na wanailaumu sana dini yao kuruhusu desturi kama hiyo.

Do a quick survey hata kwa wale ambao wako karibu nawe jirani, ofisini n.k utaupata ukweli huu nisemao.
 


Ndivyo tulivyo tunashabikia mambo ya kijinga uasherati, wezi wanaiba tunaandamana kuwaunga mkono, tunaibiwa tunawapa wezi muda wa kutanua uraiani wakibembelezwa warudishe pesa walizoiba.

TANZANIA TUMEKWISHA !!!!!!!!
Hao wazungu they are good in what...?

ACHENI KUKUMBATIA HIZO THEORIES.
Yes, as a nation tunamatatizo lakini hatujafika huko kuanza kuquote theories za kujishusha kiasi hicho.
TUWE WAANGALIFU.
 
Mbona mi naona ni mambo binafsi hayo,bongo hii hamna asiekuwa na hayo mambo.
Kama ni kweli cha msingi apunguze vidosho wabaki wachache as ataua bendi.
Au ana PACKAGE so anataka kufa na wengi,maana ndo tabia ya PACKAGE.
Mungu irehemu tz,sasa wanawake wote hao utaconcentrate na kazi kweli jamani au ndo mambo ya wakwele ambao wanayaita URIJARI.
kAZI IPO
 


Ndivyo tulivyo tunashabikia mambo ya kijinga uasherati, wezi wanaiba tunaandamana kuwaunga mkono, tunaibiwa tunawapa wezi muda wa kutanua uraiani wakibembelezwa warudishe pesa walizoiba.

TANZANIA TUMEKWISHA !!!!!!!!


Majimoto,
Hizo ni statements za Botha mbaguzi hazina ukweli wowote
 
Msiba wa mwenzio ni tofauti na kufiwa na nduguyo wa karibu. Ninaamini, wengi itawabughudhi mno pale madingi zao watapoonja mademu wadogo wadogo mtaani - eti katika mazingira kwamba "nafanya majaribio maana huenda nikakaoa haka kabinti".


...Kama maza wako ni kiruka njia, hii haitakupa shida.





.
 
Halafu mnalalamika maadili yameshuka wakati watu tunashabikia........ mwishoni tutashabikia watoto wa shule kubebeshwa mimba kwa kigezo cha mambo binafsi. Watanzania fumbueni macho na bongo zenu kha!!
 
...this is just the beggining. Kijana mdogo bado damu inachemka mwacheni na huo unaweza ukawa mwisho wake kisiasa.

bwana mdogo tangu mchonga hadi mugwana wana mabibi wa nje hiyo ni sera ya serikali yako nyerere alikuwa mtu wa mabibi tu,unasikia na misifa kemukemu mnamwaga
 
Licha ya binti huyo Bw. Masha anadaiwa kuwa na vidosho wengine kama kina Lulu, Lily Mziray, na Lorraine (kutoka Zimbabwe ambaye inadaiwa alipewa deportation order)

Madai haya yamekuja siku chache baada ya moratorium ya kutoingilia mambo ya binafsi ya viongozi kuvunjwa na watetezi wa CCM na hivyo kuashiria kuwa maneno ya Rais Kikwete kwenye mkutano Mkuu wa CCM mwaka jana kuwa hayana maana na hivyo katika mapambano haya wote ni ni "fair game".

Habari zilizomfikia nzi wetu zinaonesha kuwa katika sakata la kutumia madaraka kujishughulisha na mambo ya ufiska Bw. Masha hayuko peke yake. Orodha ya viongozi kadhaa wa serikali, siasa, na taasisi za umma imemalizika huku orodha ya machangudoa, vidosho na mahusiano na baadhi ya watoto wa kike wa Sekondari zikiwa wazi.

Uperuzi wa haraka haraka wa orodha hizo unaonesha kuwa baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitumia ziara mbalimbali nje ya nchi kwenda kufanya mambo yao ya ufuska au kutembelea wapenzi wao kwa gharama ya walalahoi.

Orodha hiyo inaonesha viongozi karibu wote ukiondoa wale ambao wamevunja mahusiano hayo miaka kama miwili iliyopita baada ya kuanza kupanda vyeo. Hata hivyo baadhi ya viongozi wa juu kabisa inaonekana hawajali na hawana mpango wa kufanya hivyo kwani wanaamini Watanzania hawajali mambo ya mahusiano ya viongozi wao kwa kadiri ya kwamba mambo hayo hayahusu mali, wakati au raslimali za Taifa.

Haijulikani kama Rais Kikwete anajua juu ya "mazoezi ya viungo" ya Waziri Masha anayoyafanya akitumia muda wa serikali na mali za umma na zaidi ya yote kuletea kashfa nafasi yake nyeti.

Tunaomba Bw. Masha ambaye ni mwanachama humu aje aelezee hizi tuhuma dhidi yake na kama wakati umefika kwa yeye kuachia cheo hicho cha umma.



Tukimuweka Marsha nje ya equation, kuna jambo limejidhihirisha hapa hapa jamvini ya kuwa ni kweli.



Zaidi ya yote Bw. Masha anadaiwa kumpangishia nyumba binti huyo maeneo ya Mbezi. Wapasha habari wetu wametutonya kuwa sababu kubwa ya Masha kuanzisha mahusiano hayo ya pembeni na kuyagharimia kutokana na nafasi yake ya Uwaziri ni madai kuwa mke wake "amemzidi umri".


I have seen this pattern kwa watu wenye personality "type 7", inayotambulika kama The Enthusiast. Pattern nyingine: they are like magnet to women; they don't chase women but are being chased by women. The striking finding is that the women who are more compatible to them have a number of things in common, one being their tendency to stick with their male partners even in cases of infidelity. Kama ilivyokuwa kwa Richard wa BBA-II. Nina mifano halisi ya nilichokieleza ya watu nilio nao karibu.

Kuna mwenye experience ya wanawake wenye "type 7"?


Kwa anayemfahamu Marsha, asome The Enthusiast atuthibitishie kama hii personality ni ya yake?




NOTE: Marsha ametuhumiwa - it stays that way; nilichojaribu kufanya ni kuonyesha my observation, nothing more.



.
 
Na kuhusu kutumia pesa ya serikali, kwanini tuanze kumtupia lawama mtu tusie na uhakika kama anatumia pesa ya walipa kodi kuhudumia hawara, na tunawaacha wanaojuliikana waziwazi kuwa wamekwiba pesa ya serikali? mf EPA etc.... huu ni unafki wa watanzania sisi. Kama kweli tuna hasira na pesa ya walipa kodi iweje issue ya EPA iishie kwenye screen za computer zetu? hakuna lolote lililofanyika zaidi ya kupiga soga tu hapa? kama hatuna la kufanya jamani twende nje tupunge upepo na kucheza football kwa afya na sio kuleta umbea na kuharibu macho kwa kuangalia screen siku nzima. Lol
Kama Wanasiasa hawaruhusiwi kufanya biashara....anapata wapi hizo?
 
Ah!Tumeshayazoea haya majamaa,kwenye kila uovu wamo.Ufuska ndiyo kazi,ufisadi usiseme,mbona tuna kazi.
 
Quote:
Originally Posted by vstdar
....................wana mtoto na Kinje aitwae Junior
WEWE KUNGURU MBONA WEWE HATA SN HUNA ACHA KUTAJATA WATOTO ZA WATU
UTAISHIA JR JR
MBAFU
 
Quote:
Originally Posted by vstdar
....................wana mtoto na Kinje aitwae Junior
WEWE KUNGURU MBONA WEWE HATA SN HUNA ACHA KUTAJATA WATOTO ZA WATU
UTAISHIA JR JR
MBAFU

SN ni nini jamani? Nimetoka kapa.
 
Hiyo inatokana first na wanawake wenyewe kujirahisisha , second anatafuta nja ya kudraw attention ya mwanaume then jamaa anaingia mtego. Ipo ya namna hiyo na ipo mingine mtu anaamua kutake risk na kufuatilia mwenyewe lakini wakuu mjue kuwa ukishakuwa katika nafasi kubwa serikalini au kwenye taasisi hivyo ni vitu vya kawaida kabisa kwa sababu hao wakina dada wanajirahisisha wenyewe . Na ma miss wetu ni hivyo hivyo kwa watu kama mimi wa kawaida tuendelee kuwa waaminifu katika ndoa zetu though in one way or the other it hapeens lakini sio kwa kiwango kama cha waheshimiwa .
 
SN ni nini jamani? Nimetoka kapa.

SINIA........
 
Back
Top Bottom