Kwasababu hana mtotoJayDee ana makasiriko sana, sijui kwasababu ni Mkurya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu hana mtotoJayDee ana makasiriko sana, sijui kwasababu ni Mkurya!
[emoji23]Kuvuta bangi peke yake haimfanyi mtu kuwa Rasta.
Amesema wale wanaompigia simu usiku wa manane wakiwa wamelewa ili kuonesha watu waliokua nao kua wanafahamiana nae sana ili hali hawa support kazi wala biashara zake,Sawa lakini ukweli ndio huo. Watu wanasupport vitu wanavyopenda kama wanakusupport just kukusupport haiwezi kudumu itakuwa kwa muda mfupi tu maana wanakuungisha tu. Lakini kama unafanya kitu wanapenda, watakuja wao wenyewe. Usifanye kitu ili mradi ukitegemea watu wakubackup kisa wewe ni rafiki yao, backup itakuwa kwa muda mfupi tu
Mkuu kuwa na hurumaNyimbo zenyewe kama za kwaya!
Binafsi nimemuelewaAmesema wale wanaompigia simu usiku wa manane wakiwa wamelewa ili kuonesha watu waliokua nao kua wanafahamiana nae sana ili hali hawa support kazi wala biashara zake,
Point yake ipo kwenye kusumbuana usiku wakati ni unafki.
Neno..biashara ya chakula wewe umwlitoa wapi? Yeye kaongelea muzikiWiki hii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee aliamua kutoa yake ya moyoni kuhusu marafiki zake kutomuunga mkono katika biashara zake.
JayDee alisema kuwa kuna baadhi ya watu ambao hawaungi mkoni biashara yake ya chakula, lakini wakishapiga ‘vyombo’ usiku wanaanza kumpigia simu mbele za watu ili waonekana wanamjua sana.
Anasema watu hao wakishapiga vyombo vyao wakasikiliza nyimbo zake basi wanaanza sifa za kujuana wakati hawaendi kumuungisha kwenye biashara zake na wala kwenye shoo zake hawaendi.
Siku moja baada ya kauli hiyo, mkongwe mwingine wa muziki wa Kenya, Nyota Ndogo aliyewahi kutamba na nyimbo za ‘Watu na Viatu’ na ‘Nibebe’ aliomshirikisha Nonini naye ametoa povu kuhusu mashabiki wanaokwenda hotelini kwake kula na kunywa bila kulipia huduma hiyo.
"Nasema sababu naona inazidi, tuko na Mashabiki na Marafiki.... watakwambia tunatafuta hoteli yako hatujui ilipo kisha wanakuja watano au sita wanaagiza kuku, pilau, nyama na kila kitu wakishamaliza kula wanakisifu chakula wanaingia kwenye gari wanaondoka zao.
"Mnakula chakula cha karibu 4000 Ksh. (Tsh. 79,000) mimi nina Watu nataka niwalipe nina kodi pia ya nyumba ya kulipa kama nyinyi ni Marafiki hamtokuja kula bure bali mtasema mnakuja kum-suport Nyota na huo sio Urafiki ni unafiki," - amesema Nyota.
Huruma ikizidi hata yeye mwenyewe Jide sitamtendea haki, inabidi aelewe feedback ya watu asilete nyodo zilizopita mipaka.Mkuu kuwa na huruma