Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
"Tumepata taarifa kwamba kuna vikundi vya watu wachache, wameamua kuanza na vikao vya siri wakihamasishana kwamba wasikubaliane na matokeo ambayo kimsingi ni maamuzi ya Wananchi wenyewe, yoyote anayelianzisha asijutie yale atakayokuatana nayo, Dar es Salaam siyo shamba la bibi, hatutowaacha waende zaidi ya mita kumi" Lazaro Mambosasa - Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Tanzania.



1604068619828.png
 
Bilashaka wanafahamu yanayo jiri, na ndio sababu kubwa wameendelea kukata mawasiliano ili watu wasipashane habari kwa yanayojiri sababu itaibua hasira na chuki za wananchi
Nikweli mkuu, ndio maana wameanza matamko kutisha watu, lkn watambue hii miaka mitano inayokuja nimiaka tofauti kabisa na mitano iliyopita.
 
Hahaha huu nao uongo uliokithiri sasa. Nani aende kuipinga CCM kwenye hili?!

Yani huna akili kiasi hicho?!

Katiba hairuhusu na nani atakubali kuipokea hiyo kesi?!

Yani uende mahakama ya CCM luishitaki CCM, utakuwa na akili kweli?!

Kakaa huko kakosa cha kufanya akaona atunge uongo.
 
Back
Top Bottom