Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nendeni tu si mabeberu watawatibua anzeni hata sasa hiviHii nchi siyo mali yake wananchi wana haki ya kuandamana kwa mujibu wa katiba ya tanzania na wanahaki ya kukataa matokeo maana kama sheria inakataza kwenda mahakamani basi wananchi ndiyo wenye mamlaka ya kukataa matokeo na yeye kazi yake ni kuwalinda hao wananchi kukataa ni halali yao kama ilivyo kwa wanaunga mkono huo uchafuzi
Mwisho wa Mambosasa utakuwa kama huyu aliyejifanya mbabe kama yeye."Tumepata taarifa kwamba kuna vikundi vya watu wachache, wameamua kuanza na vikao vya siri wakihamasishana kwamba wasikubaliane na matokeo ambayo kimsingi ni maamuzi ya Wananchi wenyewe, yoyote anayelianzisha asijutie yale atakayokuatana nayo, Dar es Salaam siyo shamba la bibi, hatutowaacha waende zaidi ya mita kumi" Lazaro Mambosasa - Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Tanzania.
Yeah....Ninakumbuka speech zake alisema “mimi ndiye Komandoo “.
Nendeni tu si mabeberu watawatibua anzeni hata sasa
Nendeni tu si mabeberu watawatibua anzeni hata sasa hivi
Kama wameamua KUACHA familia zao.. frsh tu..
Anza mzeee... Mbn maneno MengiHuo wizi hauwezi kuachwa hivihivi hakuna atakayekubali wizi wa mchana na ushahidi upo hakuna kulala yeye atoe matamko tu lakini sisi wananchi ndiyo wenye mamlaka hatujatoa mamlaka kwa wizi wa hivo tangu tanzania izaliwe haijawahi kushuhudia wizi wa hivo ni aibu lazima tukatae wizi na hao wote walioshitiki kwenye wizi tutahakikisha wanatajana hadi aliyewatuma Nyerere alishasema tukiogopa tutatawaliwa na madikiteta basi tuone mwisho wake kama hizo silaha zitashinda nguvu ya umma. Kama wanafikiri wamekata internet VPN iko kila mahali
Andamana basii kidg tuuu.. mita kumiNikweli mkuu, ndio maana wameanza matamko kutisha watu, lkn watambue hii miaka mitano inayokuja nimiaka tofauti kabisa na mitano iliyopita.
Maisha ya Watanzania yana thamani kubwa kuliko kura mnazowadaiMambo yanaanza kuwa mambo
Hii nchi siyo mali yake wananchi wana haki ya kuandamana kwa mujibu wa katiba ya tanzania na wanahaki ya kukataa matokeo maana kama sheria inakataza kwenda mahakamani basi wananchi ndiyo wenye mamlaka ya kukataa matokeo na yeye kazi yake ni kuwalinda hao wananchi kukataa ni halali yao kama ilivyo kwa wanaunga mkono huo uchafuzi
Mapolisi niliwaona katika zile clip za kura feki kwenye mabegi wakishuhudia. Kwa nini haongelei hilo???Huyu ni mpuuzi, maoni ya wananchi yamebakwa na kulawitiwa mchana kweupe hilo haoni.
Viongozi wa CHADEMA na ACT kamwe wasilegeze kamba. Kukabiliana na mhuni na wewe nenda kihuni