Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

Hii nchi siyo mali yake wananchi wana haki ya kuandamana kwa mujibu wa katiba ya tanzania na wanahaki ya kukataa matokeo maana kama sheria inakataza kwenda mahakamani basi wananchi ndiyo wenye mamlaka ya kukataa matokeo na yeye kazi yake ni kuwalinda hao wananchi kukataa ni halali yao kama ilivyo kwa wanaunga mkono huo uchafuzi
 
Nendeni tu si mabeberu watawatibua anzeni hata sasa hivi
 
Mwisho wa Mambosasa utakuwa kama huyu aliyejifanya mbabe kama yeye.

Kila la kheri Mambo-now!

 
Hivi huyu mjinga anaijua siku na saa yake?
 
Nendeni tu si mabeberu watawatibua anzeni hata sasa hivi

Huo wizi hauwezi kuachwa hivihivi hakuna atakayekubali wizi wa mchana na ushahidi upo hakuna kulala yeye atoe matamko tu lakini sisi wananchi ndiyo wenye mamlaka hatujatoa mamlaka kwa wizi wa hivo tangu tanzania izaliwe haijawahi kushuhudia wizi wa hivo ni aibu lazima tukatae wizi na hao wote walioshitiki kwenye wizi tutahakikisha wanatajana hadi aliyewatuma Nyerere alishasema tukiogopa tutatawaliwa na madikiteta basi tuone mwisho wake kama hizo silaha zitashinda nguvu ya umma. Kama wanafikiri wamekata internet VPN iko kila mahali
 
Anza mzeee... Mbn maneno Mengi
 
Matokeo ya Urais regardless yamepatikanaje hayapingwi kokote. Tuanzeni hapo kwanza maana hata NEC nao wanafanya uharamia wao mchana kweupe bila hofu wala woga maana wanajua wapo backed up na sheria, kanuni na KATIBA!

Wapinzani na wapenda haki waanzie hapo kwanza. Kungekuwa na hiyo window ya kupinga matokeo, ingekuwa rahisi kusubmit evidence zote mahakamani. Kwa sasa tutaziona evidence Twitter na JF tu
 
Imetoka hiyo. Zenj imeshashjndikana, maisha yanaendelea
 
Viongozi wa CHADEMA na ACT kamwe wasilegeze kamba. Kukabiliana na mhuni na wewe nenda kihuni

Tutakufuatilia kwakuwa unachochea Vurugu. Uchaguzi umeisha, JPM aungwe mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…