Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
“Askari ana uhuru wa kukaguliwa, kwa sababu mara nyingine wanasema [watuhumiwa] bangi hii haikuwepo, ameingia nayo nimewekewa. Ili kuondosha mashaka hayo ya msingi, afisa wa polisi anasema naomba nikaguliwe ili mambo yakienda yatakayokutwa kule [mahakamani] asiwe na nafasi ya kuyakana kwamba mmeyaleta wenyewe.”