Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

Nitajie mazuri aliyofanya Nyarandu kwa Taifa la Tz, mimi nitakutajia mafariki zake. Hivi wakwe zake ni nani vilee? Huko CDM labda anataka kutimiza ndoto zake za uraisi....northpole loading
 
Waondoke tu huko,kwanza kwa sasa hakuna chama,ni timu ya mtu mmoja.
 
Haya mwambieni mungu mtu wa magoogoni amwarakishe IGP ili akamatwe kwa makosa ya uhujumu uchumi!!!!
 
Kama naona Kingu yuko nyuma ya propaganda hii! nadhani anatafuta umaarufu wa kimkoa kumzidi yule mwenye skafu shingoni anaejifanya mzalendo zaidi..kumbe hewa tu!
Hahaha huyo mwenye kitambaa shingoni hata mimi simwelewagi
 
Mtu yeyote akijitambua CCM wanamwona hawafai
Nyalandu umechagua fungu lililo Bora
Wana singida kaskazini sasa watakuona mtu wa maana ..
Ni bora kusimama na ndugu yako.Mnyaturu Mwenzako LISSU..Ni kaka yako wa damu huyo.Kuliko kuandamana na miskuma ya huko wai sijui isiyo na utu
Pure IPPs
 
Ukabila chadema haujawahi kuisha chama cha wachagga mnataka muwafundishe mpaka wengine ukabila wenu?
Aliekwambia wamefundishwa nani,wenyewe kwa wenyewe mnaliungurumisha,
Heri mkabila CHADEMA kuliko MKOSA UTU CCM. nadhani uzifahamu sifa za kutokuwa na utu,Nyarandu kaonyesha yeye ni binaadam na ana utu,chama kizima mnamuandama,ukikikosa utu unakuwa mfuasi wa ibilisi rasmi.
 
Kama naona Kingu yuko nyuma ya propaganda hii! nadhani anatafuta umaarufu wa kimkoa kumzidi yule mwenye skafu shingoni anaejifanya mzalendo zaidi..kumbe hewa tu!
Unamanisha yule anayejiona ni Mtanzania na mzalendo kwa kuvaa bendera ya taifa na Siku hizi anaongea kwa nyodo?Napita hapa darajani na jina lake limeandikwa na kumalizia rais!
 
Kingu na Mwigulu ni Wanyiramba
Nyalandu na Lissu ni Wanyaturu
Wanyiramba huwa wanasifika kwa roho mbaya
Kwa hapa namuona Lazaro akisimama na ndugu yake Lissu..Mnyaturu Mwenzake

Kumbe huko kwao kuna ukabila eenh?
 
Huyu bae. Hivi ile kesi yake ya kugawa Vitalu bure iliishia wapi? Nakumbuka aliwahi kwenda na kimada wa bongo. Movie safari ya nje ya kiserikali. Poor Nyalandu.
 
Back
Top Bottom