Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

Kanyunyu UNGEKUWA NA UHAKIKA NA TAARIFA HII CHAMA KINGEMTIMUA NYALANDU MAPEMA. ILA HAUKUWA NA UHAKIKA. KWA HYO UMEBAHATSHA KAMA BIKO TU
 
BIG UP Kanyunyu! umenikosha sana. Sasa Mdau vipi Nape, Ridhwani, Bashe? wapo ndani au wapo nje? Maana hawaeleweki eleweki ....
Tuongeze na Membe... kujiunga na jumba bovu lenye ufa kila mahali na kazi kubwa waliyonayo ni kujaribu kuziba nyufa za jumba lao kwa mate. Jamani hizo nyufa hazizibiki hata kwa nondo.
 
Mkuu nimeagiza soda nasubiri jibu la swali hili
Kanyunyu bwanaaa, usitucheleweshee utamu! Ila Nape kama anahama bora aanzishe chama chake. Vyama vingine vyote vilivyobaki naona akijiunga ni kujidhalilisha tu in search for cheap publicity na siasa taka za kukomoana.
 
Hii si lojiki aisee. CHADEMA ni watu kama walivyo wa vyama vingine.Suala la kushika dola na kuongoza ni la ridhaa ya wapiga kura kukichagua. Halafu elewa kuwa Tanzania hakuna chama cha kikabila

Nani kakwambia Tanzania hakuna chama cha kikabila? safisha macho kidogo, naona macho yanaukungu...
 
Ana uhuru wa kukihama chama.

Ninawapenda viongozi kama hao wanaofanya maamuzi magumu kuliko kung'ang'ania tu wakati huridhiki ili ugange njaa.

Maamuzi ya uwoga. Kaona nyasi zinacheza cheza, machale yakamcheza, kakimbia mbio kwenye kwapa la baba
 
Kama naona Kingu yuko nyuma ya propaganda hii! nadhani anatafuta umaarufu wa kimkoa kumzidi yule mwenye skafu shingoni anaejifanya mzalendo zaidi..kumbe hewa tu!

Hivi mwenye skafu kwa nini hawampi Ubalozi? Kuna watu bwana inabidi wafikiriwe wakale bata nje. Uwepo wao hapa nchini unaleta chombo kama vile Mwenye skafu, nape , bashe , rizi ...
 
eea88385c6c6643e33761d65bc70e217.jpg
 
Tulifuatilia nyendo zenu mapema sana, ndiyo maana Niliandika hapa Jukwaani watu wakabeza. Kule Arusha mlikutana RICH HOTEL
 

Attachments

  • IMG_20171107_173623.jpg
    IMG_20171107_173623.jpg
    98 KB · Views: 29
Back
Top Bottom