Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

Siasa mbaya na chuki zinazidi kuota mizizi minene... acheni kujifanya mnafahamu mawazo ya mtu kichwani kwake... wanafiki nyie na wafitini nyinyi ni wapotoconist wakubwa na wapumbavu. Mbona hamsemi kuwa Mama zenu wanawataka kimapenzi mababa wa Nyumba za Majirani zenu!

Kiko wapi?
 
Kinyunyu wewe ni political analyst mzuri sana!
Uliyoaandika kweli yametokea. Na kweli hizo trip za Nairobi hazikuwa bure, hata kauli zake tatanishi zilionyesha kuwa yuko mguu moja ndani mwingine nje. Aende salama, akajiunge na jumba bovu.
Kweli wewe ni bundi fara wewe
 
Ndio hapo naikubali jamii forum mambo ya kubabaisha hamna huku... Ni kama watabiri vile...
 
Nyalandu kwenda Nairobi kumowona Tundu Lissu, au kutohudhuria mikutano ya Chama wilayani au kwenda Mwanza kwenye mikutano ya kidini si evidence kuwa amehama CCM. Leta habari yenye mashiko huku!! acha hadithi za kusadikika!!
ameshaleta sasa
 
Kila mwenye kusoma sasa sio wakati wa kubaki ccm. Wamechoka tumewachoka....akitoka huko atakuwa amefanya jambo la maana kwa nchi yake.
Wengine nao watoke tu....tunahitaji mabadiliko ya kweli sio ya 50/50
Hatimae ametoka kukimbia ufikteta....
Sasa bado kina
Nape
Bashe
Ridhwani
Makamba
Fatma Karume
Nchemba
Amani Karume

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Niliandika haya tarehe 20/10/2017 .Nikiwa mdau Nyeti wa chama na serikali. Tulikuwa na taarifa zote za kiintelijensia kuhusu Lazaro Nyalandu kuondoka. Sijawahi kukosea Mission ya Kazi. Mule Mule

Watoa mapovu mkuje hapa.

Jasusi.
 
Wacha makelele, lete ushahidi wa Lazaro kukutana na Edward kwa siri hotelini Arusha kama ulivyoahidi
 
Niliandika haya tarehe 20/10/2017 .Nikiwa mdau Nyeti wa chama na serikali. Tulikuwa na taarifa zote za kiintelijensia kuhusu Lazaro Nyalandu kuondoka. Sijawahi kukosea Mission ya Kazi. Mule Mule

Watoa mapovu mkuje hapa.

Jasusi.

BIG UP Kanyunyu! umenikosha sana. Sasa Mdau vipi Nape, Ridhwani, Bashe? wapo ndani au wapo nje? Maana hawaeleweki eleweki ....
 
Kingu na Mwigulu ni Wanyiramba
Nyalandu na Lissu ni Wanyaturu
Wanyiramba huwa wanasifika kwa roho mbaya
Kwa hapa namuona Lazaro akisimama na ndugu yake Lissu..Mnyaturu Mwenzake
We mpumbavu mnyiramba gani alikufanyia roho mbaya kama sio laana zako
 
Back
Top Bottom