Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

Hapa bavicha ndo manadhihirisha kuwa mmejawa na ukabila maanina zenu,Ikulu mtapasikia tuu
 
CCM kwa fitna...mitambo ya kutengenezea umbea , kosa la Nyarandu ni kushiriki bega kwa bega katika kuokoa maisha ya home boy wake Lissu, CCM hawataki ushirikiano wowote. Nyalandu be free siasa za visasi ni za kilongi sana za Kijima hongera kwa kujitambua.
 
CCM hainatofauti na wachawi wanaofuga mandondocha.
 
Kama Nyalandu kauweka unyaturu mbele kabla ya chama atuachie mkia wetu mapema
 
Watanzania tunajinadi hatuna ukabila lakini ubaguzi wa vyama vya siasa tunawazidi wenye ukabila tena kwa mbali sana
 
Kama Nyalandu kauweka unyaturu mbele kabla ya chama atuachie mkia wetu mapema
atawaachia..yaani unategemea mtu amuache nduguye afuate miskuma ya wapi sijui huko yenye miroho mibayaaaaa
 
atawaachia..yaani unategemea mtu amuache nduguye afuate miskuma ya wapi sijui huko yenye miroho mibayaaaaa
Chama cha mapinduzi hakijajengwa ktk misingi ya kikabila,kama kilivyo chama cha demokrasia(japo ni ya uongo)na maendeleo ambacho kimeasisiwa na watu wanaohusudu ukabila umangi meza na ubangi shari.
 
Chama cha mapinduzi hakijajengwa ktk misingi ya kikabila,kama kilivyo chama cha demokrasia(japo ni uongo)na maendeleo ambacho kimeasisiwa na watu wanaohusudu ukabila umangi meza na ubangi shari.
sawa.endeleeni.Lakini ndio tushakuambia.Damu nzito kuliko maji
 
Watanzania tunajinadi hatuna ukabila lakini ubaguzi wa vyama vya siasa tunawazidi wenye ukabila tena kwa mbali sana
Si kweli mbona Anna mughwira alipewa shavu na Mkumbo wake tatizo lenu ni "tunnel vision"
 
Kama wangekuwa huko unyaturuni huenda hata wasingejuana huenda hata wangerogana Damu nzito gani sasa?
hujui ukisemacho .pole.kama hadi wanyaturu wamebadilika.Hamna leo nyie CCM Majangili
 
Kingu na Mwigulu ni Wanyiramba
Nyalandu na Lissu ni Wanyaturu
Wanyiramba huwa wanasifika kwa roho mbaya
Kwa hapa namuona Lazaro akisimama na ndugu yake Lissu..Mnyaturu Mwenzake
Pale juu nilikupa "like" ila nimeiondoa baada ya kusoma comment hii!
 
kinachomtoa ccm ni kukaa benchi (uroho wa madaraka)..xo hata akija cdm akikosa uongozi ataenda ACT(bahati mbaya uongozi anaoutaka uwazir hawez upata cdm wala ACT)...nb asome picha mapema next time hata benchi hatokaa ataachwa mapema tu ....msimu wa usajili
 
Mh. Rais aliahidi kushughulikia sekta zote zinazohusu na kugusa rasilimali za nchi yetu. Alianza na madini, na tumeona matokeo yake. Siku atakayogusa Wizara ya Maliasili na Utalii ndio mtakapomfahamu huyu jamaa vizuri. Mh, Rais naomba ukimaliza na Wizara ya Madini uwapigie hodi Wizara ya Maliasili na Utalii.
 
Namlilia Mritaba Mungu ampe nguvu haraka ili tulijenge taifa letu Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…