Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

Ahame haraka ili apate kiki, kabla hawajamfukuza na kupotea kama sofia simba
 
Watanzania hatujafika kuangalia makabila, fikiria upya
 
hujui ukisemacho .pole.kama hadi wanyaturu wamebadilika.Hamna leo nyie CCM Majangili
Mnyampaa! Vipi mbona unachanganya maneno?au mtukuru wa nafaka umeunywa asubui subuhi..cool down man!
 
Kama kuyokuhudhuria kikao ni kuhama chama vp kuhusu Kinana aliyegomea kikao cha halmashauri kuu kwa mkakosa hoja eti anauguza kwani yy dokta
 

Kanyunyu, you make some how some sense. Nilikuwa najiuliza hivi kuna nini na Nyalandu mbona haeleweki eleweki? Angalia hata leo coverage Nyalandu anapewa kipaumele ya coverage kwenye magazeti ya Mbowe - Tanzania Daima kuliko mtu yoyote! Sasa Nyalandu nilitegemea leo atazungumzea kuhusu kazi safi na ushindi mkubwa tulioupata (at this initial stage) juu ya makinikia but to my surprise Nyalandu amepewa coverage ya Kupigia debe Katiba Mpya! Hii si bure hata kidogo! Hivi mapesa tutakayopewa na Barrick Bilioni 700 nilitegemea Nyalandu atasema anategemea wananchi wa jimbo lake watakumbukwa angalau fedha kidogo ya kupunguza makali ya maisha yeye yuko bizee na Katiba! Hali akijua kabisa kuwa Bosi wake Mh. Rais amesema Katiba is not a priority at this stage. Maendeleo ya wananchi kwa kupunguza umaskini ndio priority!
Nyalandu kama unataka kutoka utoke tuu acha contradictory statements.
 
Tumpongeze kwa ushujaa wa kujitambua na kuona wapi penye faida
 
Kama naona Kingu yuko nyuma ya propaganda hii! nadhani anatafuta umaarufu wa kimkoa kumzidi yule mwenye skafu shingoni anaejifanya mzalendo zaidi..kumbe hewa tu!
Wakati wa kampeini za uchaguzi wa 2015 eti alikuwa anajiita Nyerere wa karne hii
 
Umenena jambo jema Sana
 
Upuuzi tu kwani lazima ahuzulie kikao au akuhuzulia unamlipa pambana na hali yako nyarandu sio level zako
Kikubwa ni kuwa anahama Ccm na kwenda kujiunga na chama cha wazarendo
 
Kingu na Mwigulu ni Wanyiramba
Nyalandu na Lissu ni Wanyaturu
Wanyiramba huwa wanasifika kwa roho mbaya
Kwa hapa namuona Lazaro akisimama na ndugu yake Lissu..Mnyaturu Mwenzake
Ufafanuzi wenye uzito wa kilo 1000
 

Kinyunyu wewe ni political analyst mzuri sana!
Uliyoaandika kweli yametokea. Na kweli hizo trip za Nairobi hazikuwa bure, hata kauli zake tatanishi zilionyesha kuwa yuko mguu moja ndani mwingine nje. Aende salama, akajiunge na jumba bovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…