Jicho-la-Bundi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 312
- 108
Siasa mbaya na chuki zinazidi kuota mizizi minene... acheni kujifanya mnafahamu mawazo ya mtu kichwani kwake... wanafiki nyie na wafitini nyinyi ni wapotoconist wakubwa na wapumbavu. Mbona hamsemi kuwa Mama zenu wanawataka kimapenzi mababa wa Nyumba za Majirani zenu!
Kesho nitapeleka ushahidi Takukuru jinsi Nyalandu alivyonunuliwa na Chadema. Ushahidi huo ninao kwenye flash.
Kweli wewe ni bundi fara weweKinyunyu wewe ni political analyst mzuri sana!
Uliyoaandika kweli yametokea. Na kweli hizo trip za Nairobi hazikuwa bure, hata kauli zake tatanishi zilionyesha kuwa yuko mguu moja ndani mwingine nje. Aende salama, akajiunge na jumba bovu.
vipi bado unataka chai?Chai
ameshaleta sasaNyalandu kwenda Nairobi kumowona Tundu Lissu, au kutohudhuria mikutano ya Chama wilayani au kwenda Mwanza kwenye mikutano ya kidini si evidence kuwa amehama CCM. Leta habari yenye mashiko huku!! acha hadithi za kusadikika!!
Haki acha ifuate mkondo wakeHii nayo ameshauriwa na watu wa marekani?? Incompetent fellow
Hatimae ametoka kukimbia ufikteta....Kila mwenye kusoma sasa sio wakati wa kubaki ccm. Wamechoka tumewachoka....akitoka huko atakuwa amefanya jambo la maana kwa nchi yake.
Wengine nao watoke tu....tunahitaji mabadiliko ya kweli sio ya 50/50
kama cha kijani kinavyogeuzwa kuwa mali ya wapush...!!!Ukabila chadema haujawahi kuisha chama cha wachagga mnataka muwafundishe mpaka wengine ukabila wenu?
Wacha makelele, lete ushahidi wa Lazaro kukutana na Edward kwa siri hotelini Arusha kama ulivyoahidiNiliandika haya tarehe 20/10/2017 .Nikiwa mdau Nyeti wa chama na serikali. Tulikuwa na taarifa zote za kiintelijensia kuhusu Lazaro Nyalandu kuondoka. Sijawahi kukosea Mission ya Kazi. Mule Mule
Watoa mapovu mkuje hapa.
Jasusi.
Niliandika haya tarehe 20/10/2017 .Nikiwa mdau Nyeti wa chama na serikali. Tulikuwa na taarifa zote za kiintelijensia kuhusu Lazaro Nyalandu kuondoka. Sijawahi kukosea Mission ya Kazi. Mule Mule
Watoa mapovu mkuje hapa.
Jasusi.
We mpumbavu mnyiramba gani alikufanyia roho mbaya kama sio laana zakoKingu na Mwigulu ni Wanyiramba
Nyalandu na Lissu ni Wanyaturu
Wanyiramba huwa wanasifika kwa roho mbaya
Kwa hapa namuona Lazaro akisimama na ndugu yake Lissu..Mnyaturu Mwenzake
Mkuu nimeagiza soda nasubiri jibu la swali hiliBIG UP Kanyunyu! umenikosha sana. Sasa Mdau vipi Nape, Ridhwani, Bashe? wapo ndani au wapo nje? Maana hawaeleweki eleweki ....
Itaendelea lini Mkuu?😛( nitaleta uzi Maalum na evidence)
Itaendelea.............