Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

HII NI LAANA YAKUKESHA WAKINYWA KUSHEREHEKEA KIFO YA MAGUFURI. CHADEMA MAJANGA VIONGOZI NA WANACHAMA, NI CHAMA CHA FAMILIA
 
Tatizo kubwa sana ni Chadema kutokuwajua na kuwatambua wapambanaji na watumia fursa, inawezeakana sasa Chadema yenyewe ikawa ni fursa inayotumika vizuri.
Hakuna fursa zaidi ya kujaribu kupata vyeo kupitia CHADEMA.
 
Sijawahi kuona kunguru wanaruka pamoja na njiwa
 
Kusah ajiandae muda wa anty ezekieli kula Bata umerud [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kamati kuu ilimpitisha kwenda kushindana na lisu kuwania urais.

Kamati inampitishaje mtu asie na mvuto?
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kupitishwa sio suala la mvuto boss, bali ni vigezo. Jitahidi kutenganisha mvuto na vigezo. Rejea tena nikulambishe mchanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…