Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Maendeleo yapo bhana acha uongo, maneno ya mkosaji hayo. Nyalandu ka declare interest kwamba yeye ni ccm na ccm ina wenyewe. Shida iko wapi????.Chadema badala ya kujenga chama wametumia siku 40 kumtukana hayati. Acha laaaaaaaaana iwatafune nyumbu nyie.Wale 19 loading. Halima kashika makali, mguse anuke hahahahahaaaa
Mkuu Lu-Ma-Ga, comment yangu nimezungumzia wanasisa na vyama, kwamba ufiki wakati wanasiasa na vyama vyao wawe serous katika utendaji wa kazi zao. Kwa asilimia kubwa KATIBA YA NCHI YEYOTE inalenga udhibiti wa siasa.
 
Kumbe Mbowe alikula milions kadhaa za Lowassa, na kumbe ndio sababu hatya kumnadi Lissu alishindwa kwasababu ilikuwa sawa na kujitolea kanisani?
tindo nimefurahishwa na jinsi unavyomwaga nondo zako hapa!

Hujafurahishwa na nondo zangu maana kila siku naweka Nondo hapa. Sema leo naongea ukweli usiokumuuza. Ni hivi toka mwanzo chaguo la Mbowe haikuwa Lisu bali Nyalandu maana alikuwa na maslahi naye binafsi.

Ni nguvu tu ya wanachama ilimzidi Mbowe baada ya ile blunder ya Lowassa 2015. Hilo la kwamba Mbowe alikuwa anamtaka Nyalandu na sio Lisu kwasababu zake binafsi nimelisema sana humu.

Na sio hapo tu, hata Mbowe kwa sasa hakustahili tena kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm kwani wakati ukuta.
 
Nashangaa leo hawajaimba pambio[emoji1787][emoji1787]
Ila CDM wanachekesha sana,nacheka kama chizi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
ETI HASIRA ZAO NI MAGUFURI. WANACHEKESHA HAWA. KUNA MTAJI MZURI KWA WALE WADADA, WACHA TUMALIZE ZEGE LA LEO MAMA TAIFA KASEMA
 
nyalandu kumbe ni opportunist.
Du ndiyo maana CCM inazidi kutawala. Hivi wewe ulikuwa hujajua huyu jamaa anashughulikia tumbo lake tu? Hivi unaona kuna mpinzani hapo? He is very corrupt na ni mtu wa kutumbua maisha tu. Hapo ameshapiga hesabu akaona anaweza kupewa tena cheo ili apate ulaji.
 
Halima ndio anaenda kuangusha kile kipande kilichobaki!!

jengeni upya Chama linazama sasa
When it comes to politics ccm is always namba one, uliza malawi, zambia, afrika kusini zimbabwe angola na msumbiji they know what ccm is. Araaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Walikuwa hawampendi?

Hivi unamoitishaje mtu ambae humpendi ashindane kwenye kinyang'anyiro cha urais?

Vipi kama hizo hela zake zingefua dafu kama kwa Lowasa..?
Naona umeishiwa hoja ndio maana unasishia kuchomeka maneno yako ili kubeba Utetezi wako dhaifu. Ni wapi nimeweka neno kupendwa? Jitahidi kutenganisha neno kumpenda na kuwa na mvuto, ukiweza kupata tofauti ya hayo maneno nitag niendelee kukulambisha mchanga.
 
Safi sana Nyarandu nenda kaunge juhudi za chama chako ulikimbia utekaji wa wazi enzi za JPM mungu akusimamie.
 
Am not surprised at all, and to be honest, he was like a square peg in a round hole!!
 
Hujafurahishwa na nondo zangu maana kila siku naweka Nondo hapa. Sema leo naongea ukweli usiokumuuza. Ni hivi toka mwanzo chaguo la Mbowe haikuwa Lisu bali Nyalandu maana alikuwa na maslahi naye binafsi.

Ni nguvu tu ya wanachama ilimzidi Mbowe baada ya ile blunder ya Lowassa 2015. Hilo la kwamba Mbowe alikuwa anamtaka Nyalandu na sio Lisu kwasababu zake binafsi nimelisema sana humu.

Na sio hapo tu, hata Mbowe kwa sasa hakustahili tena kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm kwani wakati ukuta.
Bora wewe unaongea ukweli pasi na kuongozwa na ushabiki.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Naona umeishiwa hoja ndio maana unasishia kuchomeka maneno yako ili kubeba Utetezi wako dhaifu. Ni wapi nimeweka neno kupendwa? Jitahidi kutenganisha neno kumpenda na kuwa na mvuto, ukiweza kupata tofauti ya hayo maneno nitag niendelee kukulambisha mchanga.
Kamati kuu ilimpitisha kwenda kushindana na lisu kuwania urais.

Kamati inampitishaje mtu asie na mvuto?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom