Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Naona umeishiwa hoja ndio maana unasishia kuchomeka maneno yako ili kubeba Utetezi wako dhaifu. Ni wapi nimeweka neno kupendwa? Jitahidi kutenganisha neno kumpenda na kuwa na mvuto, ukiweza kupata tofauti ya hayo maneno nitag niendelee kukulambisha mchanga.
Mkuu tindo Nahitaji maoni yako katika hili........
 
Ukweli kabisa...! Chadema inakazi Sana kujijenga!!

Nnachoamini, Bado tena kuna kundi litakaloondoka huko, ndilo litakalowakatisha tamaa hata viongozi watakao kuwa wamebakia huko chamani

Hayo yoote ni Kwa sababu pia, kuna mambo ambayo viongozi wengi wa siasa huyafanya huku wakidhani ndiyo yenye kukiimarisha Chama na kukieneza, kumbe wasijue kwamba ni kukaribisha laana Kwenye Chama

Ubora wa myenendo Yetu hauishii tu tunapokuwa makanisani na miskitini, hapana, ubora huohuo unapaswa ufike Hadi Kwenye Vyama vyetu, kutendeana wema, kusameheana na kujizuia Sana kuwa sehemu ya wasababisha maafa Kwa wengine, na Jambo hili haliishii tu chadema Bali Kwa Vyama Vyote!!

Kuonea watu, kutafuta njia ya kuingiza nchi Kwenye maandamano yenye lengo la kuuwana, Kwa sababu tu mtu anataka madaraka, Haiwezi kukubalika Kwa Taifa la waombaji na Taifa linaloamini katika Mungu

Tanzania ni salama zaidi katika Mungu, wowote wenye lengo Baya kutaka kuhatarisha umoja na Amani Yetu, Sina hakika kama watabaki salama Mbele ya wanaokesha wakiliombea Taifa Lao,

Haiwezekani mtu umekunywa gongo huko uanguke halafu useme ulivamiwa na usalama wa Taifa, huko ni kuwachonganisha wananchi na serikali Yao, ni vyema matendo yenye kuashilia machafuko, ni vyema viongozi wetu wakaachana Nayo, la sivyo, Vyama wanavyoviongoza havitakaa kutulia Hadi watubu

Najua wenzangu hasa wapinzani mtachukizwa Sana na hichi, lkin huo ndio ukweli, ukitaka kufanya siasa za uchonganishi, Hama Tanzania,

Tutakapokubaliana kwamba Tz ni nchi ya watu wastarabu, ndipo tutaanza kufanya siasa za kistarabu
 
Wanasiasa chumia tumbo hawa.....halafu na nyie wafuasi watani wa jadi, alipokuwa kwenu mlikuwa mnampaka rangi nyingi asionekane mchafu, ni zamu ya wa upande wa pili kutetea sasa......kuanzia zile za kina Anti Ezekiel, mpaka usafirishwaji wa wanyama pori......kazi kwenu wapiga kelele
 
Watanzani tunajifunza nini kwa wanasiasa kama hawa?
Tunajifunza kwenba uanachama Chadema ni kupoteza muda.

Lazima upate zero 'A' level ndio uwe mwenyekiti, Uwe college drop out Mnyika katibu mkuu, umalize kozi ya uandishi wa habari ngazi ya cheti Mgombea u makamu wa Rais, na form four Naibu Katibu mkuu. Ndio mifano ya kubaki na kuongoza Chadema.,
 
Back
Top Bottom