Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu iyo speaker aina gani? Nimeipenda
Uwiiii [emoji1][emoji1] hapo dj na team yake wameshaanza kuungaUkiwafuatilia sana wanasiasa unaweza kufa mapema sana kwa ugonjwa wa moyo.
Alichofanya Nyalandu ni katika kile kinachoitwa "kujitafutia mkate wake wa kila siku". Kila mtu ana mbinu zake na ni busara kutopangiana mbinu za kusurvive hapa duniani.
Muda si mrefu vyama karibia vyote vitapiga u-turn, vitaanza kumsifia Mama na kuunga mkono juhudi huku tukisahau kwamba mifumo hasa ya uchaguzi bado ni ileile na hatupaswi kubank hopes zote kwa mtu mmoja
kwan mnafanya uchaguzi lini wa mwenyekiti?Hata CCM aliiponda hivyo hivyo, hakuna jipya. Safari yake ilishatangazwa na kigogo
Kama uvccm watakavyoanza kumpambaBavicha sasa anzeni kumtukana
Mkamfukuza?
Hili la bwana Nyalandu kurudi CCM unalizungumziaje kisiasa.....Hili lipi boss?
Hahaha mwamba upo?Machadema yatasema amenunuliwa.
Tatizo lenu ni moja mnpenda kuongea kitu kwa kujiamini lakni mkiulizwa mlichoandika hamtoi majibu.Basi endelea kumwambia mwizi
Taga bana.Lema atasema amenunuliwa kea bilioni nane!
Hili la bwana Nyalandu kurudi CCM unalizungumziaje kisiasa.....
Lita athiri vipi siasa za upinzani....??
Umeandika hoja yako kishabiki Sana....ila NI mawazo yako,ngoja NIYAHESHIMUUkweli kabisa...! Chadema inakazi Sana kujijenga!!
Nnachoamini, Bado tena kuna kundi litakaloondoka huko, ndilo litakalowakatisha tamaa hata viongozi watakao kuwa wamebakia huko chamani
Hayo yoote ni Kwa sababu pia, kuna mambo ambayo viongozi wengi wa siasa huyafanya huku wakidhani ndiyo yenye kukiimarisha Chama na kukieneza, kumbe wasijue kwamba ni kukaribisha laana Kwenye Chama
Ubora wa myenendo Yetu hauishii tu tunapokuwa makanisani na miskitini, hapana, ubora huohuo unapaswa ufike Hadi Kwenye Vyama vyetu, kutendeana wema, kusameheana na kujizuia Sana kuwa sehemu ya wasababisha maafa Kwa wengine, na Jambo hili haliishii tu chadema Bali Kwa Vyama Vyote!!
Kuonea watu, kutafuta njia ya kuingiza nchi Kwenye maandamano yenye lengo la kuuwana, Kwa sababu tu mtu anataka madaraka, Haiwezi kukubalika Kwa Taifa la waombaji na Taifa linaloamini katika Mungu
Tanzania ni salama zaidi katika Mungu, wowote wenye lengo Baya kutaka kuhatarisha umoja na Amani Yetu, Sina hakika kama watabaki salama Mbele ya wanaokesha wakiliombea Taifa Lao,
Haiwezekani mtu umekunywa gongo huko uanguke halafu useme ulivamiwa na usalama wa Taifa, huko ni kuwachonganisha wananchi na serikali Yao, ni vyema matendo yenye kuashilia machafuko, ni vyema viongozi wetu wakaachana Nayo, la sivyo, Vyama wanavyoviongoza havitakaa kutulia Hadi watubu
Najua wenzangu hasa wapinzani mtachukizwa Sana na hichi, lkin huo ndio ukweli, ukitaka kufanya siasa za uchonganishi, Hama Tanzania,
Tutakapokubaliana kwamba Tz ni nchi ya watu wastarabu, ndipo tutaanza kufanya siasa za kistarabu
Magu kumbe kafa kweli..? umungu mtu umekwepaHII NI LAANA YAKUKESHA WAKINYWA KUSHEREHEKEA KIFO YA MAGUFURI. CHADEMA MAJANGA VIONGOZI NA WANACHAMA, NI CHAMA CHA FAMILIA
Habari gani; vipi mambo?Hahaha mwamba upo?
Kitambo
Ova