Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu atumia usafiri wa bodaboda kuchukua fomu ofisi ya Mkurugenzi

Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu atumia usafiri wa bodaboda kuchukua fomu ofisi ya Mkurugenzi

Unafki mkubwa. Wallah ningekuwa msingida wala kura yangu asingepata.Mtu kwake kapark marange halafu anatuona sisi wapumbavu eti anakwenda kuchukua form kwa boda boda. Hypocrite kabisa.
Huyo jamaa anaotesha Hekalu huko Arusha ni balaa, Singida wanajulia wapi nn kinaendelea Arusha?. Tatizo Tanzania washamba wengi sana.
 
Unafki mkubwa. Wallah ningekuwa msingida wala kura yangu asingepata.Mtu kwake kapark marange halafu anatuona sisi wapumbavu eti anakwenda kuchukua form kwa boda boda. Hypocrite kabisa.
Kwani y peke yake mwenye hizo

Ova
 
Bora angeenda na gari tu make kila mtu anajua ana gari.Na akishapata ubunge ataendelea kutumia bodaboda?.
 
Mkuu hajavaa helmet, au nayeye akikamatwa atatoa ile elfu5 ya kubrash viatu tuliyoambiwa na jiwe??
 
hahahaaa iyo pikipiki kazunguka nayo tu hapo gari ipo nyuma ya mchukua video
 
Back
Top Bottom