Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu atumia usafiri wa bodaboda kuchukua fomu ofisi ya Mkurugenzi

Unafki mkubwa. Wallah ningekuwa msingida wala kura yangu asingepata.Mtu kwake kapark marange halafu anatuona sisi wapumbavu eti anakwenda kuchukua form kwa boda boda. Hypocrite kabisa.
Labda ilipata pacha au kulikuwa na tatizo la kiufundi?
 
Unafki mkubwa. Wallah ningekuwa msingida wala kura yangu asingepata.Mtu kwake kapark marange halafu anatuona sisi wapumbavu eti anakwenda kuchukua form kwa boda boda. Hypocrite kabisa.
Mkuu kwani kuwa tajiri na kuamka kupanda bodaboda ni dhambi?au ni maskini tu ndio wanaruhusiwa kupanda ma-Range ila matajiri hawaruhusiwi kupanda bodaboda hata mara mojamoja?why chuki namna hii kwa matajiri?.na kama mnaona utajiri wake sio wa halali kwanini msimpeleke mahakamani na kumfunga?..hizi roho mbaya za kutaka matajiri wasiishi wanavyotaka zinatusaidia nini? dah
 
Huyo jamaa anaotesha Hekalu huko Arusha ni balaa, Singida wanajulia wapi nn kinaendelea Arusha?. Tatizo Tanzania washamba wengi sana.
Na ccm ndio masterminds wa ushamba na ujinga. Ndio breeding ground. Endeleeni kuupalilia huo ushamba. Ushamba na ujinga vikishamiri ccm ndio inanawiri.
 
Kwangu wanasiasa wote ni wanafiki sana.
Kama alikuwa waziri tena Maliasili kabeba Twiga
Anamiliki magari mengi ya kila aina.
Hasa walioko madarakani ndio wanafiki zaidi. Kama wewe mchambia matembele umeyajua yote hayo na wapo wanaoyajua zaidi yako hawachukui hatua. Tulia tu unafiki utamalaki. Musiba anasemaje kwani kuhusu uwaziri wa Nyalandu, kubeba twiga na kumiliki magari?
 
Unafki mkubwa. Wallah ningekuwa msingida wala kura yangu asingepata.Mtu kwake kapark marange halafu anatuona sisi wapumbavu eti anakwenda kuchukua form kwa boda boda. Hypocrite kabisa.
Akili fupi zako hizo, mbona hukusema upumbavu Magufuli alipokwenda na kikapu kuhemea??, Mbona hukusema aliponunua Hindi la kuchomwa pale kilwa!!
 
Una uhakika sikusema ?Tena nilisema mbele ya camera anakula hindi barabarani. Nyumbani kwake anakula vinono.
 
Duuh, huyu jamaa alikua anakunywa mouth wash huko mbele,

Lakini wakati si ukuta, katia nia Urais.
 
Hasa walioko madarakani ndio wanafiki zaidi. Kama wewe mchambia matembele umeyajua yote hayo na wapo wanaoyajua zaidi yako hawachukui hatua. Tulia tu unafiki utamalaki. Musiba anasemaje kwani kuhusu uwaziri wa Nyalandu, kubeba twiga na kumiliki magari?
Hahaaaaaa mkuu usipaniki hii ndo siasa Leo Lowassa fisadi mkubwa, Kesho haohao Lowassa ndo kiongozi bora awe Rais. Akili za kukopa.
 
Na ccm ndio masterminds wa ushamba na ujinga. Ndio breeding ground. Endeleeni kuupalilia huo ushamba. Ushamba na ujinga vikishamiri ccm ndio inanawiri.
Hakuna serikali wala chama cha kukutoa matongotongo, jipambanie kwanZa mwenyewe.
 
Tufikirie mambo ya msingi kwa taifa na sio mtu.
Mwisho tunajadili mgombea fulani kavaa bukta badala ya boksa..))
 
Back
Top Bottom