Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu atumia usafiri wa bodaboda kuchukua fomu ofisi ya Mkurugenzi

Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu atumia usafiri wa bodaboda kuchukua fomu ofisi ya Mkurugenzi

Kifuatacho ITV... IGIZO
 
Attachments

  • Ee0lhbYXoAAwn6G.jpg
    Ee0lhbYXoAAwn6G.jpg
    6.5 KB · Views: 2
Unafki mkubwa. Wallah ningekuwa msingida wala kura yangu asingepata.Mtu kwake kapark marange halafu anatuona sisi wapumbavu eti anakwenda kuchukua form kwa boda boda. Hypocrite kabisa.

sasa si uamuzi tu binafsi, ameamua/amejisikia kupanda bodaboda hakatazwi..
 
Unafki mkubwa. Wallah ningekuwa msingida wala kura yangu asingepata.Mtu kwake kapark marange halafu anatuona sisi wapumbavu eti anakwenda kuchukua form kwa boda boda. Hypocrite kabisa.
Mpe muuaji dada angu Ramadhan inghodu
 
Kwangu wanasiasa wote ni wanafiki sana.
Kama alikuwa waziri tena Maliasili kabeba Twiga
Anamiliki magari mengi ya kila aina.
 
Back
Top Bottom