wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Kaimbe mapambio wewe MATAGA bwana wa mabwana mungu wa miungu alufa na omera nan kama mwewe......Server ya JF inajazwa takataka sasa,hivi nyalandu kutangaza nia nayo ni habari? nyalandu ni nani kwanza? ana ushawishi gani? huyu huyu aliyekuwa anakwenda kujirusha nchi za ng'ambo na totoz kwa kisingizio cha kwenda kutangaza utalii?? Muwe serious aisee,kumruhusu atangaze nia tu kwenye chama chenu mnaonekana kabisa mna uboya fulani hivi,eti nyalandu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]