Lazaro Nyalandu kutangaza nia ya Urais Leo

Lazaro Nyalandu kutangaza nia ya Urais Leo

Kama ni kweli basi upinzani safari bado ni ndefu
Mnagawana kura ushindi hautapatikana
Acha tuendelee kuburuzwa
Mwana JF mkongwe Kama wewe hupaswi kufikiri kwa kiwango Cha chini hivi
 
Ninazungumza na wana CCM wenzangu. Ikiwa Chadema watamsimamisha Tundu Lissu kuwania urais, kwa tiketi ya chama hicho, kazi kwetu ni nyepezi kabisa. Lissu ni mwepesi kama ubua.
Ikiwa Chadema watamsimamisha Lazaro Nyalandu kuwania nafasi hiyo..tutapata ugumu kidogo. Huyu jamaa kidogo ni 'mzito'. Sio wa kumbeza na kumpuuza. Anaweza kututoa jasho kwa kuwa ana uhusiano mzuri na mabeberu.
Tujipange kupambana na Chadema na mabeberu walio nyuma yao.
CCM daima
Kidumu Chama Cha Mapinduzi....!
Acha kuonyesha woga wa kishindo. Magufuli anajitosheleza. Hahihtaji kampeni za hofu wala njama chafu kama hizi.

Sana sana wabunge wa CCM ndio hawana majina na hawakubaliki. Wasifanye uharamia wakamchafuat rais wetu. Wasimvalishe Magufuli mavazi yao. Yeye analovazi lake linamtosha kuwa rais wa dunia.
Ninaomba Rais wangu alitikiswe na hofu za wabunge wa cCM yeye ni mtu sahihi na anauzito wa kutosha.
Wote hao ni wepesi tu Kama unyoya hakuna anaeweza kusimama na magufuli awe lisu mbowe nyalandu wanagaragazwa vibaya sana
Wafuasi wa ccm karibu wote ni washirikima na wachawi na wanatoka mikoa flani flani ya kisukule.
 
Hakuna mwanaccm boya wa kuwa na mawazo ya namna hii

Hivi kuna mpinzani anawazia nafasi ya urais?

Hakuna mtu mzito kwa Magufuli, tumewaachia nafasi za chini
 
Server ya JF inajazwa takataka sasa,hivi nyalandu kutangaza nia nayo ni habari? nyalandu ni nani kwanza? ana ushawishi gani? huyu huyu aliyekuwa anakwenda kujirusha nchi za ng'ambo na totoz kwa kisingizio cha kwenda kutangaza utalii?? Muwe serious aisee,kumruhusu atangaze nia tu kwenye chama chenu mnaonekana kabisa mna uboya fulani hivi,eti nyalandu 😃😃😃😃
Acha ushabiki wa kijinga
 
Mkuu Vuta Subira hii ni Teknik ya Kijasusi ambayo CDM wanaitumia kuwapoteza CCM wasijue nani atasimama,tumeelekeza Mgombea wetu ni Lissu ili CCM wajipange kupambana na Lissu lakini at the end hautaweza amini anayekuja VUTA Subira tu!!
wabunge na madiwani wanaisha huko wewe endelea kuvuta subira
 
Back
Top Bottom