Lazaro Nyalandu kutangaza nia ya Urais Leo

Kaimbe mapambio wewe MATAGA bwana wa mabwana mungu wa miungu alufa na omera nan kama mwewe......
 
Kule ccm ni marufuku mwanachama kuchukua fomu ya kugombea uraisi
 
Chadema siyo CCM inayobagua watu wa kuchukua fomu.
 
Ninazungumza na wana CCM wenzangu. Ikiwa Chadema watamsimamisha Tundu Lissu kuwania urais, kwa tiketi ya chama hicho, kazi kwetu ni nyepezi kabisa. Lissu ni mwepesi kama ubua.
Ikiwa Chadema watamsimamisha Lazaro Nyalandu kuwania nafasi hiyo..tutapata ugumu kidogo. Huyu jamaa kidogo ni 'mzito'. Sio wa kumbeza na kumpuuza. Anaweza kututoa jasho kwa kuwa ana uhusiano mzuri na mabeberu.
Tujipange kupambana na Chadema na mabeberu walio nyuma yao.
CCM daima
Kidumu Chama Cha Mapinduzi....!
 
"Nitazungumza na Wanahabari na nitakuwa LIVE ndani ya Global TV na Millard Ayo TV leo Jumapili June 14 saa 12 jioni. Karibu sana unisikilize!" Lazaro Nyalandu.
Huyu ndiye mgombea anayekubalika na wadhamini wa chama!
 
Acheni UDIKTETA.....Mrudisheni Membe mruhusuni achukue form km alivyosema.....

CHADEMA IPO KWENYE MIOYO YA WATZ wkt ccm ipo kwenye mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi
 
Chagueni size yenu.. Mna ruhusiwa
 
Jipeni moyo maccm. Mie nahofia tu goli la mkono. Kama game ingekuwa fair play, kwa Tundu, mngetoka knock out kabla ya saa 4 asubuhi!
 
Umeacha kumuogopa Lissu siku hizi?

Umeacha kumuogopa Lissu siku hizi?

View attachment 1478498
Acha kuonyesha woga wa kishindo. Magufuli anajitosheleza. Hahihtaji kampeni za hofu wala njama chafu kama hizi.

Sana sana wabunge wa CCM ndio hawana majina na hawakubaliki. Wasifanye uharamia wakamchafuat rais wetu. Wasimvalishe Magufuli mavazi yao. Yeye analovazi lake linamtosha kuwa rais wa dunia.
Ninaomba Rais wangu alitikiswe na hofu za wabunge wa cCM yeye ni mtu sahihi na anauzito wa kutosha.
 
Kweli kabisa ni mtu sahihi ,mpk ameona ajitungie na sheria kabisa ya kuogopa kushitakiwa akitoka madarakani.

Sasa kipenzi/mtetezi wa wanyonge anaogopa nini akitoka madarakani?
 
Wote hao ni wepesi tu Kama unyoya hakuna anaeweza kusimama na magufuli awe lisu mbowe nyalandu wanagaragazwa vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…