Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

Tutamfikia kila Mhusika
Muda hautoshi !
Tulijaribu kushauri humu kuhusu kuwasamehe Covid 19 ili muda usipotee bure !
Tulijua ile habari ilikuwa ni kupoteza muda tu maana wale watakuwepo tu Bungeni mpaka 2025 !
Kumjadili Jiwe pia ni kupoteza muda tu maana yule jamaa alishajaa kwenye mioyo ya wanyonge wa Nchi hii !!
Hivyo kuwabadili watu eti wamchukie hiyo ni ndoto !

Jiwe is no more he has gone forever !
Let him rest where he belongs to !
 
Chadema tunawauliza, mkipewa nchi mtaendesha km Kikwete? au Samia? ama Magufuli? Mkapa au Nyerere?

Maana hamueleweki mnataka nini?
Mi siipendi Ccm ila nilimkubali Magufuli.
Hii nchi bila ubabe haiendi
 
Wakati wa Harakati za Makaburu kuna Wapambanaji wa aina mbili

Wapo kina Thabo Mbeki waliokimbia Nchi kupinga ukaburu na wapo waliobaki ndani ya South Africa kama kina Winny Mandela kuumaliza Ukaburu

vivyo hivyo 2015-2021
 
..Na Lowassa na Sumaye waliokuwa upinzani walipobinywa walirudi Ccm kulikokuwa na kinga.

..Kwa taarifa yako, Twiga walitoroshwa wakati Waziri wa Maliasili akiwa Ezekiel Maige.
Sumaye alisema walikuja Chadema Ili kuuwa Upinzani na walifanikiwa kwake sababu 2015 Ndio ulikuwa mwaka wa Chadema kutwaa Dola
 
Licha ya kwamba ni upotoshaji wa kiwango cha juu sana lakini hauna nguvu, umuhimu wala maana yoyote, na kwahivyo yafaa kupuzwa kama ambavyo inafaaa 🐒

Nyalandu hakuondoka CCM by mistake, ispokua kwasababu ya blunders zake nyingi mno alizozifanya mwenyewe kwa kujua ama kutokujua pale maliasili. Hakua na chaguo baada ya kubaini kwanza, hangekua na nafasi tena serikalini lakini pia alihisi ametengwa na angeshughulikiwa kwa mujibu wa sheria kwa makosa yake huko maliasili 🐒

Lakini pia,
kuhamia kwake chadema, alilenga kuiatract govt.kumuintimidate zaidi ili apate sababu ya kukimbilia exile ughaibuni kwasababu za eti kutishiwa maisha kama ambavyo kibaraka anavyofanya hivi sasa. Anakula maisha mwanawane 🐒

Licha ya kuwindwa sana hata pale chadema lakini pia kuwekwa kwenye rada na mipango ya kum-Chacha Wange, Nyalandu alikua mtulivu na imara zaidi kusoma michezo, kubaini na kukwepa mitego mingi sana aliowekewa na viongozi waandamizi wa chadema kutumia mgongo wa Redbriged.
Nyalandu alionekana kuweka kauzibe na kutatiza waandamizi wapigaji wasile vizuri cake ya chama 🐒

Mwisho,
baada ya nyalandu kupigwa baridi sana chadema pamoja na wenzake kama vile Hayati Lowasa, L.Masha, F.Sumayi wote waliamua kurejea CCM bila mbambamba yoyote, na sasa wanaendelea kuchapa kazi mbalimbali sawasawa na wanachama wengine na walipa kodi nchini 🐒
Kijujuu uaadhani kuwa hoja kuwa Nyalandu ni mzalendo ina mashiko yoyote. Hata tone. Nyallandu wakati wa Kikwete likuwa anawaleta maseneta kutoka Marekani na kuwapeleka Ikulu kwa Rais. akitoka huko wana kwenda kwenye mbuga na mali asili nyingine na kubeba wanachotaka. Ilifikia wakakaribia kumilikishwa kitalu kwenye mbuga za wanyama bahati nzuri mbunge wa CHADEMA nadhani Sugu au Mchungali Mwesigwa wakailipuwa bungeni na mpango ukafa moja kwa moja. Sasa alipoingia Magufuli Nyalandu akiwa mbunge vilevile akawaita maseneta wake ila alipotaka kuwaeleka Ikulu akaelezwa awapeleke kwa waziri wa maliasili. Hiyo ilimuuma sana kwa sababu wale maseneta walishaaminishwa kuwa Nyalandu ni kila kitu sasa ikaonekana sio chochote. Akawa frustrated sana. Wakati huo huo Lowasa alijiamini yeye alikinunua CHADEMA kama mali yake na angekifanyia transformation. Baada ya Masha kuondoka CDM ambaye Lowasa alitarajia amfanye mwenyekiti wa CDM basi Lowasa akamshawishi Nyalandu ahamie CDM ili aje kuwa mwenyekiti. Ilipoonekana wazi kuwa CDM hakijauzwa na kuwa Lowasa hakuwa na uwezo a ku-influence uongozi wake hapo wote wakabaki njiapanda. Sasa hapo uzalendo wa Nyalandu uko wapi?
 
Aliwahi kudhtakiwa na huyo mliyemwita Mzalendo?

Kama sivyo ccm wote ni kapu moja...ila Nyarandu aliukataa udikiteta kwa kumanisha
 
Hakupinga udikiteta, aliogopa kubanwa kuhusu twiga waliosafirishwa wakati akiwa Waziri wa Maliasili akakimbilia kwenye kinga ya upinzani.
Nyalandu humjui... Huyo mtu anajiamini, sio chawa, sio dhaifu. Kama kweli alifanya hayo mbona jiwe halikumpandisha kotini??? Nyalandu ni mwanaume na nusu wewe.... Jiwe mwenyewe alimpigia salute. Nyalandu Hana makelele lakini nakwambia he is a man and a half, na haiitaji kuwa kiongozi Ili awndeshe maisha yake na ndo MAANA alijivua wadhifa zake zote kupinga alichoamini hakipo sawa... Halafu kichwani yupo vizuri yule... Elimu yake sio ya kukariri
 
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu

View attachment 2933903

Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani , ilikuwa hatari sana kwake , maana angeweza hata kuuliwa kwa kitendo hicho .

Haijawahi kuwa utamaduni wa wanaccm kujivua vyeo kwa sababu ya Uchafu wa kiongozi mkuu , huyu rekodi yake haiwezi kufanana hata na Mrema ambaye alisubiri kwanza apokonywe Cheo ndio atoke , tena baada ya kuahidiwa vyeo vikubwa huko alikoenda .

Mamluki wa Jiwe akiwemo Hamis Kigwangwala alitangaza bungeni kwamba atamshitaki Nyalandu Mahakamani kama sehemu ya vitisho vya kumshughulikia , Lakini hadi Kigwangwala anazeeka hakuwahi kwenda hata kwa mjumbe wa nyumba 10 kumshitaki Nyalandu

Pamoja na kwamba Nyalandu amerejea CCM kwa sababu za kimaisha lakini atabakia kuwa miongoni mwa wanaccm waliomdhalilisha Jiwe hadharani , huyu alipinga ROHO MBAYA YA KINYAMA YA JIWE KUZUIA WANACCM KWENDA KUMUONA LISSU HOSPITALI BAADA YA KUJERUHIWA NA MAMLUKI WALIOTUMWA NA SERIKALI YA JIWE (HII NI KWA MUJIBU WA TUNDU LISSU MWENYEWE) , hata hivyo Mzee Mwinyi (RIP) alikataa unafiki huo na kuamua kwenda Nairobi kumuona Lissu bila kujali lolote (hii ilichagizwa na ucha Mungu wake) , Wanaccm wengine wote waliufyata kwa hofu ya kutekwa na kuuawa .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Hawa ndiyo wanaume... Bila kumsahau Bernard Membe.. Jiwe huko aliko kuni ziendelee kuchochelewa kwa kasi
 
Duuuh chongo kuitwa kengeza ndio hii haya ile listi ya mwembe fisadi no 1 alikua nani?

..sio wote waliounga mkono upinzani walifurahishwa na maamuzi ya kumteua Lowassa kuwa mgombea wa Chadema.

..pia ni ukweli ulio wazi kwamba wapinzani nchi hii wananyanyaswa na kupitia misukosuko, wakati ndugu zao walioko Ccm wakitetewa na kulindwa na dola.

..sio sahihi kumbebesha Lazaro Nyalandu lawama za kutoroshwa kwa wanyama kupelekwa Uarabuni wakati inajulikana kwamba yeye hakuwa Waziri wa Maliasili wakati hayo yanatokea.

..Mh.Ezekiel Maige ndiye anayestahili lawama kwasababu alikuwa Waziri mwenye dhamana na Maliasili. Lakini nadhani na yeye anadai " dili " la kutorosha wanyama halikuwa la kwake.
 
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu

View attachment 2933903

Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani , ilikuwa hatari sana kwake , maana angeweza hata kuuliwa kwa kitendo hicho .

Haijawahi kuwa utamaduni wa wanaccm kujivua vyeo kwa sababu ya Uchafu wa kiongozi mkuu , huyu rekodi yake haiwezi kufanana hata na Mrema ambaye alisubiri kwanza apokonywe Cheo ndio atoke , tena baada ya kuahidiwa vyeo vikubwa huko alikoenda .

Mamluki wa Jiwe akiwemo Hamis Kigwangwala alitangaza bungeni kwamba atamshitaki Nyalandu Mahakamani kama sehemu ya vitisho vya kumshughulikia , Lakini hadi Kigwangwala anazeeka hakuwahi kwenda hata kwa mjumbe wa nyumba 10 kumshitaki Nyalandu

Pamoja na kwamba Nyalandu amerejea CCM kwa sababu za kimaisha lakini atabakia kuwa miongoni mwa wanaccm waliomdhalilisha Jiwe hadharani , huyu alipinga ROHO MBAYA YA KINYAMA YA JIWE KUZUIA WANACCM KWENDA KUMUONA LISSU HOSPITALI BAADA YA KUJERUHIWA NA MAMLUKI WALIOTUMWA NA SERIKALI YA JIWE (HII NI KWA MUJIBU WA TUNDU LISSU MWENYEWE) , hata hivyo Mzee Mwinyi (RIP) alikataa unafiki huo na kuamua kwenda Nairobi kumuona Lissu bila kujali lolote (hii ilichagizwa na ucha Mungu wake) , Wanaccm wengine wote waliufyata kwa hofu ya kutekwa na kuuawa .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
ilikua bado kidogo kidogo apeperushe bendera ya cdm 2020, nadhani cdm kuna la kutafakari hapa
 
..sio wote waliounga mkono upinzani walifurahishwa na maamuzi ya kumteua Lowassa kuwa mgombea wa Chadema.

..pia ni ukweli ulio wazi kwamba wapinzani nchi hii wananyanyaswa na kupitia misukosuko, wakati ndugu zao walioko Ccm wakitetewa na kulindwa na dola.

..sio sahihi kumbebesha Lazaro Nyalandu lawama za kutoroshwa kwa wanyama kupelekwa Uarabuni wakati inajulikana kwamba yeye hakuwa Waziri wa Maliasili wakati hayo yanatokea.

..Mh.Ezekiel Maige ndiye anayestahili lawama kwasababu alikuwa Waziri mwenye dhamana na Maliasili. Lakini nadhani na yeye anadai " dili " la kutorosha wanyama halikuwa la kwake.
Aliyesema nyalandu ni fisadi anauza wanyama na kugawa vitalu maneno hayo yalitoka kwenye jukwaa la chadema na viongozi wake kwa style ile ile ya lowassa sisi wananchi huwa tunawaamini sana viongozi wa chadema wakituambia jambo vipi leo hii utubadilishie!
 
Back
Top Bottom