Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

Kashachafua hali ya hewa huko kwa mange kimambi!!! Watu wanasubiria sikukuu ya eid tu ifike connection yake iwe mtandaoni
 
Ila mange yule mama hicho anachokifanya atakuja afe kifo cha kutatanisha. Hata kama yupo mbali watamnasa tu wammalize
 
Lazaro alikosa uwaziri akanuna 🤣 , akautema ubunge

Angejua Waziri Wala asingehamia huko chama Cha kichaga😂
 
Ila mange yule mama hicho anachokifanya atakuja afe kifo cha kutatanisha. Hata kama yupo mbali watamnasa tu wammalize
Awe makini, connection yake ya mwisho isiwe ya kwake.

Ndege hata awe mjanja vipi as long anaruka ruka na kutua maeneo yenye mapaka kuna siku atalivaa kofi lenye kucha.
 
Awe makini, connection yake ya mwisho isiwe ya kwake.

Ndege hata awe mjanja vipi as long anaruka ruka na kutua maeneo yenye mapaka kuna siku atalivaa kofi lenye kucha.
mkuu kama umeangalia post ile kampost akiwa lodge kifua wazi hapo tu hata kama asipoiachia tayari ameshamchafua
 
mkuu kama umeangalia post ile kampost akiwa lodge kifua wazi hapo tu hata kama asipoiachia tayari ameshamchafua
Mwanzoni alikuwa anavujisha hizi za watu wanajirekodi, pesa imekuwa tamu, ananunua sasa picha, video, maongezi n.k kitu kinachopelekea watu watumie mbinu kupata connection wakauze. Tunapoelekea zitaanza kutegeshwa camera mahotelini.

Soko la utupu wa binadamu lipo kwa Mange na linalipa.
 
Huyu jamaa ndie anetrend kule kwa Mange? Hii Dunia Kwisha Habari yake. Sijui anaishi vipi huko alipo? Na kama na watoto??
 
Nyalandu humjui... Huyo mtu anajiamini, sio chawa, sio dhaifu. Kama kweli alifanya hayo mbona jiwe halikumpandisha kotini??? Nyalandu ni mwanaume na nusu wewe.... Jiwe mwenyewe alimpigia salute. Nyalandu Hana makelele lakini nakwambia he is a man and a half, na haiitaji kuwa kiongozi Ili awndeshe maisha yake na ndo MAANA alijivua wadhifa zake zote kupinga alichoamini hakipo sawa... Halafu kichwani yupo vizuri yule... Elimu yake sio ya kukariri
Kweli aisee.......Nyalanda was a Great Man
 
Huyu jamaa ndie anetrend kule kwa Mange? Hii Dunia Kwisha Habari yake. Sijui anaishi vipi huko alipo? Na kama na watoto??
Anaishi vizuri tu. Watu wanachinja Binadamu wenzao na wanakula Raha sembuse aliyekuw anakula Mbususu?
 
Anaishi vizuri tu. Watu wanachinja Binadamu wenzao na wanakula Raha sembuse aliyekuw anakula Mbususu?
Wewe mpe moyo tu. Kuna sababu kwa nini hayo mambo ya ngono hufanywa kwenye faragha na milango kufungwa. Ikitokea jamii ikashuhudia hilo jambo, basi thamani yako ndani ya jamii inabadilika, haswa unapokuwa na familia.

Kuna mambo ya aibu ambayo yakofanywa na binadamu, inakuwa bora hata uue mtu kuliko kufanya jambo mambo hilo. Kinachomponza yeye ni nafasi aliyokuwa nayo ndani ya jamii. Tamaa ya pesa na technology vimekuwa game changer.
 
Gwajiboy mbona hadi leo yuko vizuri na anaendelea na Injili?
Kwa sababu gwajima ali-survive ile scandal yake, haimaanishi kwamba bwana Nyalandu nae atapona. Bahati yake ni kwamba hizo video zipo kwenye himaya ya yule mpare, kwa hiyo watakaoziona ni wale members wake tu. Vinginevyo ingekuwa balaa.
 
Back
Top Bottom