Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

Nyalandu hakuwa na njaa yakutafuna kodi za wananchi! Ana kauzungu flani na roho yakufikiria wengine!! Kutana na kina mwi guru huyo akikosa uongozi atapiga mayowe,rusha maneno mabaya hata ngumi na atajipendekeza kwa mwenyevyeo mpaka arudi kwenyecheo!!
Kongole zake Nyalandu na tusisahau ananyandua pazuriiii....
 
unaanza dalili za kurudi ccm wewe mama kama unaanza kusifia waliorudi ccm inamaana unajuwa kabisa ccm ndiyo kwenyewe huko chadema mnateseka tu karibu CCM
 

..mimi nilikuwa namjibu mchangiaji aliyedai Nyalandu alihusika na lile tukio maarufu la kupakia twiga na wanyama wengine ktk ndege na kuwapeleka Uarabuni. Nimesema Nyalandu hakuhusika kwasababu bado alikuwa hajateuliwa kuwa Waziri wa Maliasili.

..kama kuna kashfa nyingine alihusika nazo uwanja uko huru kuzitaja na mimi binafsi sina ushahidi wa kupinga madai yenu.
 
Nyalandu aliokolewa na Network yake USA , si kwamba hakutakiwa kumalizwa , uliza wakubwa wakueleze vizuri , na hiyo network ndio ilimpa ujasiri wa kuondoka ccm mchana wa jua kali , Nyalandu hakujiondoa ccm usiku
Huko Chadema alikuta nyumbu tuu akaona bora CCM na akaondoka Chadema mchana kweupeee.
 
Ni pale ambapo askari ana risasi chache sana..., adui yupo mbele yake anakenua; ila yeye anatumia risasi zake adimu kuendelea kumcharaza risasi marehemu...

Ingekuwa vema kama huyo marehemu angechalazwa risasi wakati askari huyu ameshashinda vita yupo anakunywa Gahawa na kuangalia what it has been na sio what might have been....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…