Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema anaona gere! Nyalandu anavyowaputa mareceptionists wa Hotel za kitalii Arusha, Mh Waziri ni sheeedah
Hao watakuwa walitangaza utalii wa picha za ngono na uchangudoa..na sio wa maliasili maana ndio fani anayoiweza huyo mrembo..kwani huyo dada anaonekana hata hajui..kuwa mlima kilimanjaro una urefu gani...
Madem anaotoka nao.mhishmiwa wote wamejazia jazia na wana nyama ila mkewe kakaukaaa kama kuku wa kuchoma hapa tunajifunza nini??usioe mke eti decent wife ukaanza kumsumbua mtoto wa watu wakati wewe chaguo lako ni mashangingi ya mujini miili jumba buno bunooo mxiiieww bora Fella kajibebea gume gume lake ila ndo karidhika nae na maisha yanaendelea
Hivi moja ya majukumu ya miss Tanzania ni yapi? Kwa nini wasiwakusanye hao wadada walioshinda kuanzia miaka kumi mpaka sasa halafu wakawapa induction ya mambo ya marketing in tourism sector. Then hao ndo wakawa wanafanya hizo shughuli kuzunguka maeneo lengwa.
Duu unataka akusanyiwe mamiss wengine tena awagonge mimba? Jamani huyohuyo anti anatosha tusimuongezee wengine!
Hahaha mkuu nimecheka sana!Yaani ningekuwa mimi ndio waziri ningegawa dozi kama ifuatavyo
Vitatu wakati tunajiandaa kulala, kimoja katikati ya usiku, kimoja cha asubuhi na viwili mchana baada ya semina ya kutangaza mlima kilimanjaro. Aisee vyeo vingine raha
Uzi wa zamani huu lakini sio mwaka huuHAMTAWEZA KUMZUIA KTK HARAKATI ZA KUMPIGANIA LISSU.Cockroach !!!
kisa cha kuuleta wakati huu ni nini?kwa nini ufufuliwe sasa?Uzi wa zamani huu lakini sio mwaka huu