Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni!!!

Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni!!!

lema bwana huyu dingi kichwa sana tutajie na ile mimba ya bi mcharuko vp ndo ilinasa newyork nn? kumbe waliutangaza vizuri utalii eti ! nampenda shangaz ezekiel hana iyana kuvua pichu haya bongo..... tuna subir ka uncle kwa hamu.
 
Madem anaotoka nao.mhishmiwa wote wamejazia jazia na wana nyama ila mkewe kakaukaaa kama kuku wa kuchoma hapa tunajifunza nini??usioe mke eti decent wife ukaanza kumsumbua mtoto wa watu wakati wewe chaguo lako ni mashangingi ya mujini miili jumba buno bunooo mxiiieww bora Fella kajibebea gume gume lake ila ndo karidhika nae na maisha yanaendelea
 
Lema anaona gere! Nyalandu anavyowaputa mareceptionists wa Hotel za kitalii Arusha, Mh Waziri ni sheeedah

gere kwa kipi labda ?kula tigo au?
Hao watakuwa walitangaza utalii wa picha za ngono na uchangudoa..na sio wa maliasili maana ndio fani anayoiweza huyo mrembo..kwani huyo dada anaonekana hata hajui..kuwa mlima kilimanjaro una urefu gani...

yani nyalandu nilikua nampenda ila dah nimemuona km sio mzima hatukatai wanaume wengine umalaya asili yao sio wa kuudhihirisha na ile mimba sijui tu
 
Madem anaotoka nao.mhishmiwa wote wamejazia jazia na wana nyama ila mkewe kakaukaaa kama kuku wa kuchoma hapa tunajifunza nini??usioe mke eti decent wife ukaanza kumsumbua mtoto wa watu wakati wewe chaguo lako ni mashangingi ya mujini miili jumba buno bunooo mxiiieww bora Fella kajibebea gume gume lake ila ndo karidhika nae na maisha yanaendelea

umeona eehhh mdada wa watu katulia
mume lenyewe bomu la nyuklia
nna %95 nyalandu kapiga show kwa aunt na yule mtoto sijui tu
 
Hivi moja ya majukumu ya miss Tanzania ni yapi? Kwa nini wasiwakusanye hao wadada walioshinda kuanzia miaka kumi mpaka sasa halafu wakawapa induction ya mambo ya marketing in tourism sector. Then hao ndo wakawa wanafanya hizo shughuli kuzunguka maeneo lengwa.

Duu unataka akusanyiwe mamiss wengine tena awagonge mimba? Jamani huyohuyo anti anatosha tusimuongezee wengine!
 
Duh hii kali... Naona wengi hawaelewi nini haswa pesa ya walipa kodi.

Twasubiria mtoto azaliwe wa A. Ezekiel tumuone suraaaaaaa
 
Walienda kuatangaza filamu yao walioicheza pale hotelini
 
Yaani muheshimiwa kauza mechi kwa huyo malaya?
 
Rais mtarajiwa anazunguka na wacheza vigodoro kuichafua tanzania kimataifa.
 
Kama kwelii alikuwa anatangaza utalii wa Tanzania kwann asingeenda na mkewe tena aliyetwaa taji la umiss wa nchi hii,.lol walikuwa wanatangaza yao....kumuudhi tuu faraja wa watu,..mxieww!!!!
 
Yaani ningekuwa mimi ndio waziri ningegawa dozi kama ifuatavyo
Vitatu wakati tunajiandaa kulala, kimoja katikati ya usiku, kimoja cha asubuhi na viwili mchana baada ya semina ya kutangaza mlima kilimanjaro. Aisee vyeo vingine raha
Hahaha mkuu nimecheka sana!
 
HAMTAWEZA KUMZUIA KTK HARAKATI ZA KUMPIGANIA LISSU.Cockroach !!!
 
Back
Top Bottom