Tetesi: Lazaro Nyalandu na Fatma Karume kugombea Urais kupitia CHADEMA 2020

Shangazi atafaa sana kuleta changamoto ya kura kule Unguja lakini kwa silka za kiislamu kuchaguliwa na wahafidhina raisi mwanamama itakuwa mtihani mkubwa.

Baloz Seif All Idd,Mama Samia wote ni potential candidate, Balozi karume wote wanafaa, bado mh Jussa
 
Vyama vya kihuni utavijua tu,badala ya kuweka mkazo kwenye chaguzi za ndani ili 2019 wapate mitaa na vijiji vingi,wao wanawaza kugawana ugombea urais,na watajwa wote hawana sifa
 
Tumeshasema hatutaki kupoteza pesa za uchaguzi wa Rais 2020. Hao wanaojipitisha wanamatatizo gani? Bora kudai katiba mpya kuliko uchaguzi usio na maana. Hivi kunamtu wa upinzani anadhani ana miujiza ya kushinda urais 2020 kwa katiba hii,time hii na utawala huu??
 
Kumbe na wewe huna uhakika unatuletea ubuyu hapa. Shut up!!
 
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa mmoja wa wadau wa ngazi za juu katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo zimeeleza kwamba chama hicho (CHADEMA) kiko katika mpango wa kumtumia Mh. Lazaro Nyalandu aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya Nne (4) kuwa mgombea Urais wa chama hicho kwa upande wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Fatma Karume kwa upande wa Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Aidha taarifa hizo zimeeleza kwamba,mpango uliokuwepo hapo awali haukuwa ukimhusisha Lazaro Nyalandu kugombea kiti hicho cha Urais na badala yake alikuwa agombee ubunge katika jimbo la Arusha mjini ambapo Godbless Lema angegombea Hai na Freeman Mbowe angegombea Moshi Mjini, aidha mpango huo wa awali ulilenga kuliimarisha jimbo la moshi mjini kichama kutokana na kuonekana kulega lega katika kipindi cha hivi karibuni hasa baada ya jimbo hilo kuachiwa na marehemu Philemon Ndesamburo .

Aidha pia katika mpango uliokuwepo awali ulimhusisha katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi kugombea urais kwa upande wa Tanzania visiwani kupitia CHADEMA kutokana na mgogoro unaoendelea katika chama cha wananchi CUF, aidha katika kutimiza mpango huo wa awali Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kililitumia baraza lake la wazee September 12,2018 kumkaribisha Maalim Seif Sharif Hamad Kugombea Urais kupitia chama hicho ambapo Mwenyekiti wa baraza hilo la wazee “Hashimu Juma Issa” alitoa ombi hilo katika mkutano huo uliowahusisha waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, pia chanzo kimebainisha kwamba kusudio kuu la kumtumia Hashimu Juma Issa ambaye ni mwenyekiti wa baraza hilo la wazee lilikuwa ni kuteka hadhara ya wananchi Tanzania Visiwani kutokana na asili ya Mwenyekiti Wa Baraza hilo kuwa ni Zanzibar, Tofauti na matarajio ya CHADEMA Maalim Seif Sharif Hamad hakuonyesha kuunga mkono suala hilo kama ambavyo ilitarajiwa.

Kwa upande wa mgombea Urais wa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania Chama cha Demokrasia na Maendeleo kiliweka Tumaini lake kwa Waziri mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye na Mbunge Wa Jimbo la Singida mashariki na aliyekuwa Rais wa TLS Mh. Tundu Antipas Lissu, aidha chanzo kimebainisha kwamba chama hicho baada ya kufanya uchambuzi wa kina kimeona nguvu ya kisiasa aliyonayo Lazaro Nyalandu ni kubwa kuzidi nguvu ya kisiasa aliyonayo Waziri mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye na hivyo Chaguo la kwanza la chama limekuwa Mh. Nyalandu.

Aidha pia chanzo kimeeleza kwamba,Viongozi wakuu wa CHADEMA wamekuwa wakifurahishwa na harakati za kisiasa zinazofanywa na Fatma Karume ambaye ni Rais wa TLS na hivyo wanaamini anajikusanyia mtaji wa kisiasa kupitia harakati hizo anazozifanya, aidha kutokana na kutokuwepo kwa uelekeo wa kumpata maalim seif,uongozi wa chama hicho kwa sasa umeelekeza nguvu zake za ushawishi kwa Fatma Karume kwa kumshirikisha katika mambo mbalimbali ya kiuharakati kama njia mojawapo ya kujenga ukaribu nae wa kisiasa sambamba na kumfanyia uchunguzi wa kina.

Mtoa habari huyo amethibitisha kwamba Fatma Karume hana taarifa Rasmi juu ya makusudio ya chama cha Demokrasia na Maendeleo kumuhitaji na ndio sababu iliyopelekea kutokutoa jibu la moja kwa moja hivi karibuni alipokuwa akifanya mahojiano na moja ya chombo cha habari nchini.

Jitihada zinafanyika kupata habari Zaidi.
Mbona maccm mnaweweseka sana? Ila mtapata pigo kuuuubwa sana kabla ya 2020 na ndiyo utakuwa mwisho wenu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eeeeh unajifananisha na China Taifa Lina miaka zaidi ya 40000.....mkuu au unachart umelala usingizini...
Acha woga mkuu ! Miaka us sabini ilikua kiuchumi na leo iko wapi ?
 
Inapendeza kuota mchana huku unatembea halafu ukiamka baada ya kujikwaa na jiwe harakaharaka unakimbilia simu mfukoni na kuandika kwenye JF ukidhani umeleta habari za kusisimua kumbe ndoto za mchana kuwafutinisha watu
 
Hahahaha
Mizee ya kukurupuka nyinyi kubadili gear angani uwiii
Ngojea fatma awamalize watoto wenu wa kiume ndio mtapata adabu nyinyi chadrama walahi
Hamjui mapepo yanavyo tembea walahi
Mkaribisheni tu na atakuja na mapepo yake ya ushoga walahi
M. S. E. N. G. E. R. E. M. A
 
Back
Top Bottom