Kama kweli, patamu sana hapo,ila na shaka,watafyekwa mapema sana kabla hawajawasilisha,kwa kigezo cha wao kuwa ni wasaliti ndani ya chama,Mbowe ni mwenyekiti wa maishaWasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...
Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Wasalaam wana jamvi.

Hili jambo lina maslahi gani huko kwenu ccm mpaka mnaonekana very interesting?Safi sana makamanda Lowasa na Nyalandu.
Kwa kuwa Chadema inajali democrasia bila shaka watasikiliza mawazo yenu na kuyafanyia kazi.
Itapendeza mno siku moja Nyalandu kijana msomi kutoka Ilboru na USA kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Haya kapokee buku 7 yakoWasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...
Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Mbowe anawafanya nguvu zenu kwa wanaume wana ccm zisifanye kazi??Wasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...
Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Kwa hisani ya Lumumba kidumu chama cha mapinduzi. Mbowe4everWasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...
Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
HakikaSafi sana makamanda Lowasa na Nyalandu.
Kwa kuwa Chadema inajali democrasia bila shaka watasikiliza mawazo yenu na kuyafanyia kazi.
Itapendeza mno siku moja Nyalandu kijana msomi kutoka Ilboru na USA kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Wamebobea vipi wakati wote ni wahamiaji tu!Hao uliowataja wanawazidi akina Marando, Prof. Safari na wengine waliobobea kwenye chama?
sio imekaa.. katunga haswa!!ππππIla hii imekaa kama vile umeitunga tu!!!!πππ