Tetesi: Lazaro Nyalandu na Mzee Lowassa kupeleka mapendekezo kwenye kamati kuu ya CHADEMA kuhusu ukomo wa nafasi ya mwenyekiti.

Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Ndio kazi inayokufaa mfia chama
Screenshot_2018-08-15-13-36-37-1.jpg
 
Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
mnahangaika nn waachini wanachama waamue kupitia katiba ila kweli Mbowe ni kamanda anaohopwa sana na ccm
 
Episode ya Kommu na Kubenea imeisha sasa team Lumumba B7 wanawaletea episode Nyalandu na Lowassa stay tuned....
 
Back
Top Bottom