Tetesi: Lazaro Nyalandu na Mzee Lowassa kupeleka mapendekezo kwenye kamati kuu ya CHADEMA kuhusu ukomo wa nafasi ya mwenyekiti.

Safi sana makamanda Lowasa na Nyalandu.
Kwa kuwa Chadema inajali democrasia bila shaka watasikiliza mawazo yenu na kuyafanyia kazi.

Itapendeza mno siku moja Nyalandu kijana msomi kutoka Ilboru na USA kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Future impossible tense
 
Lumumba wamekuwa wasemaji wa Chadema, tutaona mengi mpaka ifike 2020. Mbowe kawashika pabaya sana pamoja na vizuizi vyote walivyoweka.
 
Nyalandu aliteuliwa lini kuwa mjumbe wa kamati kuu??
Chadema ni cha kinachofuata demokrasia,utaratibu wa uteuzi wa wajumbe upo kishera.kwani kila kamanda lazima awe kwenye kamati kuu??? Ccm hufanya uteuzi locally bila ya hata kura ya maoni.tumeshuhudia wahamiaji wakipitishwa kutetea jimbo wakati huo wajumbe waliwapinga vibaya mno,lakin cha ajabu wakapenya na sasa ni washindi zero wa ubunge .
 
Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Source please!! Maana naona imekaa kama ya mtaa wa wanafiki wa Lumumba
 
Kama ccm vile nasikia makada wameaandaa waraka wa mahususi kabisa kwamba rais asiwe mwenyekiti wa chama, maana wamechangia kukiua chama, mpaka sasa wamekuwa wakisurvive kwa msaada wa tiss, jwtz, police na ndugu zenu NEC.

Nasikia wanachama wamechoka kubebwa kwenye hiyo mbeleko ya tiss, jwtz,police, nec we subiri jiwe akiitisha kikao pale magogoni, lazima moto wake.
 
Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Chadema imewashika pabaya kweri-kweri
 
Kama ccm vile nasikia makada wameaandaa waraka wa mahususi kabisa kwamba rais asiwe mwenyekiti wa chama, maana wamechangia kukiua chama, mpaka sasa wamekuwa wakisurvive kwa msaada wa tiss, jwtz, police na ndugu zenu NEC.

Nasikia wanachama wamechoka kubebwa kwenye hiyo mbeleko ya tiss, jwtz,police, nec we subiri jiwe akiitisha kikao pale magogoni, lazima moto wake.
Na wakithubutu kuwatoa hao ilio wataja. Tutaongea lugha nyingine.. Hakina mtu mwenye hamu na Ccm kwenye sanduku la kura. Nina mashaka hata number one alompa Lowasa kura
 
Hapa sidhani kama watawachomoa watoa mapendekezo kama ilivyo kywa kwa zito mana hawawez toa muhimili wao
 
Na wakithubutu kuwatoa hao ilio wataja. Tutaongea lugha nyingine.. Hakina mtu mwenye hamu na Ccm kwenye sanduku la kura. Nina mashaka hata number one alompa Lowasa kura
Jpm anafahamu kwamb ccm haikubaliki ndo maana lazm watumie polis.taarifa ziliripotiwa kwamb sababu chini ya ya mabawa ya kuku,kupunguza wajumbe NEC ni kumhoji raid kwanin rais lazima wae m/kiti ccm taifa??? Wajumbe waliohoji hivyo wakaondolewa soon.kwa hivyo maccm yanazidi kunyumbulika.
 
Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Hii ndiyo inaitwa: Ramli chonganishi
 
Wew achana na ya Chadema hayakuhusu
 
Back
Top Bottom